Wanazingua sana,kuna Kampuni Moja hiyo nilipata Dharura nikakopa Elfu 51, afu nikapewa 30 ndani wiki Moja , faida ya Elfu 21 kwa wiki , riba ni zaidi ya 48%.
Kabla ya siku Moja kufika nikalipa hela yao, ila kwenye app yao deni halikutoka likawa linaongezeka, aisee jamaa wanapiga simu na meseji...
Uko sahihi, nadhan hata Kocha wetu Bado hajapata pattern nzuri , sjui kwann anakosa Iman kwa wachezaji wengine kama Chasambi, Miqusson ,af kila Mechi naendelea kuwa na Iman na Saido hata kama Mchango wake umepungua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.