Recent content by caeporg1

  1. C

    Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    hivi umesoma tread yote kweli? hujaona pahala kasema funds zinapotoka?
  2. C

    Uhalisia wa taifa la Israeli

    ni kweli Yesu hakubadilika ila sababu ni tofauti kidogo. sheria ya Musa kama unakumbuka vizuri ilimlazimu muisrael kuoa muisrael mwenzie la sivyo unatengwa au kuadhibiwa. Ndio maana Musa alionekana kavunja sheria na kina miriam alipooa binti wa kimidiani aitwaye zipphora. Miriam aliishia kupigwa...
  3. C

    Uhalisia wa taifa la Israeli

    ndugu, biolojia hairuhusu hayo unayosema mzee. iwapo umezaa na mzungu. watoto wako wakawa chotara ila badala ya kuoa wazungu kama nilivyosema wakaendelea kuoa weusi. baada vizazi vinne na kuendelea hawezi kamwe kuja kutokea mzungu. Genetics haziruhusu jamaa yangu. hapo ulipo inawezekana babu...
  4. C

    Uhalisia wa taifa la Israeli

    umeelezea point nzuri ndugu ila naona mapungufu yapo kidogo. kwa mfano, kama unaona wamisri wanaweza badilika ndani ya 2000 years kwa nin wayahudi wasibadilike? unajua inachukua vizazi vingapi kupoteza race kabisa? vinne bro. mfano ukioa mzungu leo, mwanao nabadilika kidogo, yeye naye akioa...
  5. C

    Melchizedek na utata unaomzunguka

    Mzee context ndio kila kitu. ukisoma biblia angalia imeandikwa na nani, wakati gani na kwa nani? Yesu ni mwana wa Mungu kweli, Mungu ni baba yake kweli kabisa. Ila context inasemaje? Je Mungu ni baba yake Yesu kama ilivyo wewe na baba yako wa duniani? Unajua wenzetu wa upande wa pili wanakwama...
  6. C

    Melchizedek na utata unaomzunguka

    habari ndugu, japo nimechelewa kusoma uzi huu naomba nikujibu kwa ninavoelewa. kabla sijaandika chochote naomba niwie radhi kama maelezo nitayoyaandika yalishatolea na mdau mwingine maana ndio niko page ya pili kati ya nyingi za hii page. huenda ushajibiwa. muandishi wa waebrania ni nani na...
  7. C

    Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

    hivi embu nijuze, ameshuka akawa chini ya nani? harmonise au kiba?
  8. C

    Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

    na yeye si aboost.. unataka kuniambia jeshi hajui michezo yote ya wasafi? afanye na yeye
  9. C

    Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

    keshampita now. 2.06 vs 2.09 in favor of vannboy
  10. C

    Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music

    hajui kwamba makosa ya spelling especialy 'r' yanaonyesha mapungufu kwenye character yake, mtu unashindwa kumchukulia serious. ile haikuwa typo, usipomrekebisha atarudia hata mara 100.
  11. C

    Diamond na Wasafi Media ni wanyonyaji sana

    umesema sawa, muulize jamaa kama anajua kuwa youtube inapata hela kwa tangazo. kama anajua muulize kwa nini halalamiki pale youtube wanapochukua 45% ya pesa yote ya matangazo wakati hawajatoa hata mia kugharimu pesa za kutengeza video
  12. C

    Diamond na Wasafi Media ni wanyonyaji sana

    naomba nikuulize, kwa promo hii anayopata zuchu, ungekuwa wewe ungemlipa shilingi ngapi kwa shoo? je akidai kuondoka atakulipa pesa ngapi? hivi zuchu bila wasafi namzidi nandy au kina vanessa?
Back
Top Bottom