hajui kwamba makosa ya spelling especialy 'r' yanaonyesha mapungufu kwenye character yake, mtu unashindwa kumchukulia serious. ile haikuwa typo, usipomrekebisha atarudia hata mara 100.Kwepa spelling error na hasa kwenye lugha yako, itakupotezea fursa nyingi dogo