Duh juzi kati nilipita barabara moja mwz nikapishana na greda linatengeneza barabara ya mtaa kwa mbele nikakuta umati mkubwa wa watu nikasimama kuuliza kulikoni naambiwa greda limetoboa bomba la maji sasa nikauliza nyie ni mafundi bomba hapana tunaangalia tu maji yanavyomwagika,
Plan ni nzuri ila mfumo wa utekelezaji ni mbovu sana nimekuwa mhanga sana hapo nyamagana kwa yafuatayo
1. Unapark gari kwa dakika 10 au 15 bado gharama ni ile ile ya sh 1500/=
2. Ukishaangalia *152# ukiingiza namba za gari kuona kama unadaiwa,utafuatiwa na message za kudaiwa kila baada ya dk2...
Kuna watu wanakosoa hata visivyokosolewa kwa mihemko isiyokuwa na maana rais hajawahukumu ila amesema wapelekwe mahakamani ili mahakama ndiyo itatoa hukumu huyo jamaa sijui alitaka wapelekwe wapi labda nyumbani kwake,kanisani au msikitini,kama mtu hana hoja [emoji850]
Sent using Jamii Forums...
Uko sawa mno ndugu watanzania wengi wana kasumba kubwa sana ya kudharau vya ndani na kusifia vya nje bila kujua vimepatikana kwa efort gani kwenye hizo nchi,kama ulivyotangulia kusema kuna watu huko nje wanatamani haya maisha yetu ambayo baadhi ya wenzetu wanayadharau, my take tuweni na uzalendo...
Mdogo wangu unenikumbusha mbali sana miaka hiyo idrissa kafupi anatugawia viroba pale dirishani,miner anakwenda refugee chamber kuiba maji na bandage,umeme ukikatika,upepo hakuna au maji yamekatika tunakwenda shaft kulala. Safi sana labda nikupe ndondoo chache kabla ya akina mbise mwanzilishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.