Recent content by Cachondo

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

    [emoji3][emoji3] we jamaa mnafiki sana Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kushitaki chuo kwa kutonitengenezea cheti changu kwa miaka 6 sasa?

    Chuo cha diplomasia pale kurasini jkt mgulani
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kushitaki chuo kwa kutonitengenezea cheti changu kwa miaka 6 sasa?

    Ni kweli, kwa miaka miwili baada ya kumaliza kilikuwa kinanikwamisha ni ada. Sikuwa nimemaliza, sasa nilipomaliza ndo nikaanza kufuatilia ndo nikakutana na majibu yale. 2020 niligombea sehem moja hivi udiwani, kwenye fomu elimu yangu nikaweka nina diploma, sasa kwenye mahojiano nilitaka niende...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kushitaki chuo kwa kutonitengenezea cheti changu kwa miaka 6 sasa?

    Sawa sawa, mi nilifululiza kwenda sana. Tatzo lipo pale masijala kuna mabinti pale ni shida kidogo
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kushitaki chuo kwa kutonitengenezea cheti changu kwa miaka 6 sasa?

    Habari Wana jamii, Upande wa Sheria! Nilimaliza masomo yangu ngazi ya stashahada kwenye chuo kimoja wapo cha serikali hapa jijini dsm mwaka 2016. Tatizo likaja sikuwa nimemaliza ada tena hela nyingi tu na hata nilipotoka field nakuandaa ile field report tukazikusanya kwa msimamizi wetu wa pale...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni kujiamini au ni uchawi? Wauaji walizurura na maiti kwenye gari hadi walipoamua kuitupa porini

    Unajua Maisha yanaumiza kichwa sana? Embu rahisisha basi hata kwenye hiki tuelewe
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

    Hapa mnavyotuchanganya mnajiona wajanja sana wakuu, ila ipo siku na sisi tutajua tu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata kioo cha TV iliyoharibika kioo?

    Shukrani sana mkuu, ubarikiwe
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata kioo cha TV iliyoharibika kioo?

    Pamoja na kufungiwa kabisa mkuu? Na wapi maduka yake yalipo kwa hapa DSM?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

    Bei gan
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata kioo cha TV iliyoharibika kioo?

    Habar wana jamii forum, Je, naweza kupata madukani au kama kuna fundi wa tv kioo cha tv yangu aina ya Samsung inch 32 kwa bei gani?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Kioo cha flat screen inch 32 bei gan, tv ya Samsung?
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

    Na alichukua kozi ya ualimu
Back
Top Bottom