Recent content by caca

  1. C

    Wimbo wa taifa mzuri AFCON 2024

    Ukiacha wimbo wangu wa Taifa (Tanzania), wimbo wa DRC umetulia sana. Je wewe kwako upi ni wimbo bora wa taifa kwenye AFCON 2024?
  2. C

    Mandela Road: Barabara iliojengwa kwa viwango stahiki

    Kutoka Chalinze kwenda Morogoro barabara hii naikubali sana
  3. C

    Nabi amethibitisha kuondoka

    Na timu yake ya Wananchi Wamefika final CAF Wamechukua ubingwa NBC PL Wamechukua ubingwa wa FA Wamechukua Ngao ya jamii
  4. C

    Joyce Lomalisa wa Yanga anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi 2023

    Huyu jamaa alipokuja watu wengi walibeza sana. Kwa kiwango alichonacho kwa sasa anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi wa NBC.
  5. C

    Yafuatayo ni mambo ya msingi kwa Yanga ili waweze kufuzu kesho

    Nabi chezesha 4-3-3 Beki: Djuma, Dickson, Mwamnyeto, Lomalisa Kiungo: Bangala, Aucho, Feitoto Mbele: Falid, Mayele, Kisinda Benchi: Morrison, Aziz Ki, Moloko, Sure Boy, Kibwana, Waliopo benchi wanaweza kuingia na kubadilisha mchezo badala ya kufanya makosa ya mechi ya kwanza ya kuingiza...
  6. C

    Brendan Rogers atapona ?

    Wamechelewa sana kumtimua mechi 7 point 1?
  7. C

    Mhandisi: Tsh. milioni 11 hazitoshi kujenga kibanda cha mlinzi wa ofisi za Serikali, labda kibanda cha mapokezi

    Hakuna Rangi ya 50,000 labda ya maji. Weather guide ni kuanzia 180,000 lita 20
  8. C

    Rais Magufuli kuondoa sherehe za Uhuru ili fedha zikajenge hospitali Dodoma si jambo la sifa, ni kuonesha Serikali haina mipango hususan ya maendeleo

    Mleta mada uelewa wako wa mambo uko chini sana. Nenda kasome kuna kitu kinaitwa “Mid Year Review” au “Budget Reallocation” vitakusaidia kuelewa. Hivyo vitu unaweza kujisomea kwenye internet au tafuta Sheria ya Bajeti. Hayo mambo Serikali inafanya kila mwaka kama kuna uhitaji wa kuhamisha Bajeti...
  9. C

    Wastaafu wanaolipwa pensheni na Hazina kuhakikiwa

    Ni Viongozi wa kitaifa, majaji, wanajeshi n.k
  10. C

    Mkapa Stadium

    Ni wivu tu, acheni wananchi wale matunda ya Nchi yao
  11. C

    Waziri Mkuu na Spika kutoka Zanzibar

    Salim A. Salim
  12. C

    Uchaguzi 2020 CHADEMA inahitaji political strategists kuishinda CCM

    5. Pia CCM 2025 mgombea anabadirika, hivyo atakuja na sera zake including hizo za upinzani. Kama utakumbuka sera ya ufisadi Magufuli ameitekeleza ambapo wapinzani hawana huo wimbo tena.
  13. C

    Uchaguzi 2020 Tofauti za kampeni Kati ya Lowassa na Lissu

    Huwezi kumfananisha Mzee Lowasa na huyu Lisu. Mbowe aliona mbali 2015, Lowasa alikuwa na mvuto kwa wananchi wa aina zote. Bila Lowasa na UKAWA 2015 CDM mngepigwa vibaya sana. Ule upepo wake uliongeza viti vya ubunge hasa mikoa ya Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Dar es Salam. Mwaka huu sioni...
  14. C

    Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

    Wewe Mkia acha wivu, Wananchi wako kwenye foleni kununua jezi tena kwa 35,000
Back
Top Bottom