Joyce Lomalisa wa Yanga anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi 2023

caca

Member
Jun 24, 2010
61
56
Huyu jamaa alipokuja watu wengi walibeza sana. Kwa kiwango alichonacho kwa sasa anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi wa NBC.

BF11AE3C-3826-4A95-8758-5585E12280CD.jpeg
 
Mbu mbu mbu FC ......walimkebehi sana huyu mwamba

Chaajabu manzoki wao alikuja kwny campaign
 
Kwa Lomalisa - Zimbwe anasubiri sana jamaa anacheza modern football, cross zake ni babu kubwa na hapa bado naona hajafikia 💯
 
Nashukuru day one nilipoona akigusa mpira nikasema huyu ni player from there hadi Leo halafu anacheza kana kwamba hata ukitaka dk 500 twende TU touches dribble insight zote ziko perfect kwa Mutambala yanga tunaenjoy

Halafu Kuna musonda huyu ni suala la muda ila ataimbwa sana kwenye media za tz
Dickson Job kama sio raia wa Tanzania basi apewe uraia wa Yanga Moja kwa Moja jamaa ni hazina kamili na ndie atanyanyua kombe la caf confederation
Mamelody tutacheza nao kwenye super cup Yanga for life
 
Tawile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom