Mjini wengi wanajenga kwa mikopo ndio maana kuna Morgage finances, so na hawa ni construction company wamekuja na some sort of financing so kufanya due dilligence ni nzuri mkuu
Habari za muda huu wakuu,
Naomba kuwasilisha mada hii kwenu ili kupata uzoefu au taarifa za kina kama kuna mtu yeyote humu ndani alishawahi kufanya kazi na kampuni inayoitwa Fine Modern Homes.
Wana mpango wao wanaoutangaza sana unaosema unalipia 40% ya gharama ya nyumba, kisha wanakujengea, na...
Sema nilichogundua humu wanaotetea hii ishu ni wajeda sema wale wajeda ambao vyeo viko kwenye mikono wale na ma private wenye vyeo kuanzia mabegani wamenyuti tu [emoji3]
Hii story ina mambo mengi sana nyuma ya pazia
Inaweza kuwa exaggerated sana
Kama ni kweli nashauri viongozi wakuu wa jeshi wakae na wananchi kawe kwa ajili ya ku solve hii ishu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.