Recent content by C. Misonge

  1. C. Misonge

    Nauza asali mbichi toka Itigi

    Sawa, ifuate huko, mimi nafuga hao nyuki pamoja na kuhakikisha nawawekea mazingira bora ya wao kuzalisha asali.. Nashukuru kwa mawazo yako lakini. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C. Misonge

    Nauza asali mbichi toka Itigi

    Habari za jioni, Tunauza asali mbichi toka Itigi, kuna ujazo wa 1kg tsh 12,500 , 500 g ni tsh 6500 na 250 g ni tsh 4,000 Kwa mawasiliano 0756 699699 / 0746 699299 Kwa Dar es salaam, tutakufikishia mzigo kwa maeneo ya Posta kuanzia 5kg, Mwenge, Mwananyamala, Mikocheni, Masaki, Mbezi, Sinza...
  3. C. Misonge

    Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba

    Nimetuma kwenye Namba ya tigo sasa hivi
  4. C. Misonge

    Uber Tanzania: Support thread

    Na mimi hii imenitokea Dec 27, niliomba usafiri kutoka maeneo ya mikocheni, gari iliyokuja imechoka na haina A/C, nilipokataa nilichajiwa elfu tatu, mnatakiwa muwe na std ya magari yenu.
  5. C. Misonge

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Pole Sana mkuu kwa usumbufu uliopitia, mwenyezi Mungu azidi kukuongoza, na akujaalie upate haki yako. Tupo pamoja kaka.
  6. C. Misonge

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    [emoji106], naona haipatikani, ila nitaendelea kuwasiliana nae, ahsante Sana
  7. C. Misonge

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Vaita, unaweza kuniambia mliwasiliana vipi? Bado namtafuta huyo jamaa
  8. C. Misonge

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Una Namba yake shuli? Kama unayo ni pm niwasiliane nae
  9. C. Misonge

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Mkuu hizo PDF ulilipia kiasi gani?na Mimi nazihitaji, naona @ biashara2000 hajaona ujumbe wangu na wala hajasema chochote
  10. C. Misonge

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Habari mkuu, Naomba tuwasiliane kuhusu hiki kilimo, ningependa nilime mwakani kigamboni, inaweza gharimu kiasi gani? Namba yangu ni 0786 333334
  11. C. Misonge

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Samahani nilimaanisha sehemu gani?
  12. C. Misonge

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    MWINJILISTI, unalima Morogoro scheme gain? Mimi nalimia kijiji cha Kipera kabla hujafika Mlali.
  13. C. Misonge

    Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Ndaga fijo Malafyale
  14. C. Misonge

    Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Malafyale, nimeku-pm, angalia kisha nijibu tafadhali
  15. C. Misonge

    Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Ahsante kwa maelezo yako, mimi nililima mwaka Jana bila kutumia mbolea, ni lazima kutumia mbolea?japokuwa ardhi yake haijawahi kulimwa Malafyale
Back
Top Bottom