Nauza asali mbichi toka Itigi

Nauza asali mbichi toka Itigi

C. Misonge

Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
60
Reaction score
10
Habari za jioni,


Tunauza asali mbichi toka Itigi, kuna ujazo wa 1kg tsh 12,500 , 500 g ni tsh 6500 na 250 g ni tsh 4,000

Kwa mawasiliano 0756 699699 / 0746 699299

Kwa Dar es salaam, tutakufikishia mzigo kwa maeneo ya Posta kuanzia 5kg, Mwenge, Mwananyamala, Mikocheni, Masaki, Mbezi, Sinza kiasi utakacho.
863c1183394a96d9e13a19652ad84e4b.jpg

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asali kipimo sahihi ni ujazo, kwa uzito utasumbuana na wateja kwani density ya asali toka eneo moja na lingine huweza kupishana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom