Recent content by Bzimana

 1. Bzimana

  Mashine za kutengeneza tofali aina zote zipate kwetu

  kuna mashine za tofali za udongo?
 2. Bzimana

  Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

  changia maendeleo, acha unafiki, kama mtendaji kata anachangisha michango kinyume na makubaliano si umuone boss wake, acha unafiki.... naludia tena acha unafiki, acha unafiki.
 3. Bzimana

  Wilaya zenye baridi sana Tanzania

  katka mkoa wa Tanga kuna 1.Tarafa ya Amani iliyopo wilaya ya Muheza, kuna babari sana, huko mvua ni wakati wote, kuna baridi sana 2.Lushoto pia kuna baridi sana
 4. Bzimana

  Nimehamia nyumba yenye skendo ya uchawi

  siku nyingine fanya utafiti wa mazingira ili upate dondoo ya nyumba husika kabla haujahamia
 5. Bzimana

  Wizara ya Afya yaandaa muswada wa kuvuna viungo vya watu, kama maini, figo, mapafu nk

  sasa nikitolewa moyo, figo, maini na mapafu huko paradise nitaaishi vipi? au hakuna maisha tena baada ya kifo?
 6. Bzimana

  Uonevu unaofanywa na Wenyeviti wa Mtaa na Mtendaji wa Kata ya Nyamlukano wilaya ya Sengerema

  huo mchango ni makubaliano ya wananchi na mtekelezaji wa kukusanya ni mtendaji na mwenyekiti. wasipokusanya huoni kama wananchi watawaona viongozo hao hawawajibiki. kama wewe ndio mwenyekiti wananchi waliokaidi kuchangia ungefanyeje? msiwe mnachagua watu na kuwajalibu
 7. Bzimana

  Uonevu unaofanywa na Wenyeviti wa Mtaa na Mtendaji wa Kata ya Nyamlukano wilaya ya Sengerema

  toa pesa kijana acha kulalamika, mwenyekiti na huyo mtendaji wanatekeleza maagizo/maazimio mliyowaagiza kwenye mkutano mkuu, mchango huo mlikubaliana na sio maamuzi binafsi ya mtendaji na huyo mwenyekiti
 8. Bzimana

  Mkasa nilioshuhudia nikiwa ndani ya basi ambao ulihusisha Wana Usalama nikiwa njiani kuelekea Jijini Mwanza

  nazani walipewa jina na mhusika, ndio maana walianza kwa kila mtu ajitambulushe kwa kutoa kitambulisho chake
 9. Bzimana

  Mtendaji wa Kijiji amchapa vibao Mwananchi kisa kuvuta sigara hospitali

  mamlaka ya kuvuta sigara katika eneo la kutolea huduma za afya aliyatoa wapi??
 10. Bzimana

  Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

  Kwahio nawe umeona hio ni changamoto uliyoipata maishani nwako
 11. Bzimana

  TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

  Mmepandisha bei za vifurushi vyenu
 12. Bzimana

  Shangazi wanatishia kuniloga na wanashirikiana na polisi kunimaliza

  Sijawahi wala kusikia mtu anadai urithi wa bibi yake tena mzaa mama, huweze dai mali ujombani.
 13. Bzimana

  Ombi kwa Mh. Lukuvi; Tunaomba umshughulikie MKurugenzi mtendaji wa Muheza

  toa pendekezo lako! na maoni, fikra zako zinakutuma vipi juu ya ugawaji wa mashamba hayo?
Top Bottom