Recent content by byemelwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Zitto Acheni upotoshaji: Siasa za ramli hazina nafasi

    Aliyeweka uzi hapo juu inaonekana hata ufikiri wake una matatizo , tunaposema kudumaa kiakiri ni pamoja na wewe umedumaa hukupata viakula vyenye lishe utotoni. unasapoti uficcm unaofanyika bungeni acha mambo yako wewe unafaidika na nini huko ficcm mpaka unajitoa ufahamu?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Acheni kuweweseka hao ni makamanda wa ukweli wameonewa bungeni, kwani mnataka bunge liendelee kuwa gizani? acheni umbulula nyie. kuna jamaa moja eti madawati wameachiwaa maDC kwani unataka wabunge hao wawachangie? kwani si mlisema elimu bure sasa mnalia lia nini? bebeni zigo wenyewe mliyataka .
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    mlisema elimu bule sasa mnalialia nini? unataka msaidiwe kuchangiwa madawati na wabunge hao? Hilo zigo lenu la madawati kufeni nalo acheni kulia lia.
  4. B

    JamiiForums Tanzania TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

    Aliyeandika upuuzi huu atakua ni ficcccc hawezi kuwa mchadema. ni mnafiki mkubwa nyumba ya jirani inakuhusu nini huko ficccm kutakua ndo ufisadi umekidhiri mnapokea hela nyingi sana mnafanyia nini?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Frank Nyalusi, Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa Mjini, Asimamishwa kazi

    Hii sijaipenda hata kidogo katika ustawi wa chama, mana watani wa jadi wanafurahia yanayotokea. Kwani mmeshindwa kuonyana ndani ya vikao vyenu? Ila Huyu jamaa kimsimamo namkubali alikua anamtisha hadi RPC na RPC anaelewa somo, sasa sijui mtapata wapi jembe tena kama hili lisiloogopa kitu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mikakati ya kuimarisha Sekta ya Kilimo na Mifugo imewekwa vizuri katika kuongeza viwanda?

    mada nzuri kabisa Hebu tujadili
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, Mikakati ya kuimarisha Sekta ya Kilimo na Mifugo imewekwa vizuri katika kuongeza viwanda?

    Nimeona wana JF, tuchangie mada hii muhimu kuhusu kukua kwa sekta ya viwanda nchini. Nadhani mtakubaliana na mimi hasa wachumi kuw ili viwanda viweze kufufuliwa na kujengwa vipya na viweze kuwa endelevu sekta kubwa za kuangalia na kuziendeleza ni kilimo na mifugo na katika sekta hizi ndo raw...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa maafisa tawala wa mikoa (RAS)

    Hao Wakuu wa Mikoa ni wanasiasa na qualification zao hazieleweki, na hawapendi hasa kupata kwanza ushauri wanakurupuka tu. hawa ni wajumbe wa siasa wa mikoa wa chama wanafanya siasa full. mfano ulotoa ni mmoja angalia mwingine juzi tu huko Bunda mkuu wa mkoa tulisikia eti kamsimamisha mhandisi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Serikali na wabunge 250 kuogopa hotuba ya kurasa 30 hawawezi kuongoza nchi

    msigwa ni mbunge bora kabisa jimbo la Iringa mjini kuwahi kutokea, hoja zake zina ukweli mtupu ila ndo ukweli unauma. Na anayesema ukawa watapungua bungeni hujui kufuatilia mambo kwa sababbu kila uchaguzi unapofanyika wabunge wa upinzani wanaongezeka na maficcm wanapukutika sasa hoja yako ina...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    Kwa hiyo kwa kuwa amekula mshahara na posho ni kigezo cha yeye kukaa kimya kutosema uozo wa serikali yake? inawezekana walikwamishwa na akina baba ridhiwani na Ben kwani hawana maamuzi ya mwisho katika mambo makubwa ya kitaifa. na jua kuwa hizo ni stahiki zao kisheria usiwe zuzu kupitiliza hebu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    Najua wengi CCM mnachukia na hamkupenda hawa watu wawili sumaye na Lowasa watoke huko ndo maana mnatokwa povu na hamna point ya kusimamia kilichopo mnaandika uzuzu. Hapa inatengenezwa team ondoa CCM madarakani mchwa wakubwa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    Kuna wahuni humu jf wanatoa points za kishabiki na kiuongo zaidi kwa mfano huyu anayesema chama kimetekwa na Lowasa hana uhakika wowote ni uzuzu uliopitiliza. na kama tungekufahamu wewe inawezekana kuna vitu wanafaidi ndani ya CCM
  13. B

    JamiiForums Tanzania Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    Hapo safi ataongeza ujuzi ndani ya chama, na kuwapa techniqes mbalimbali za ushindi na kupata siri za ficcm na serikali nahii itasaidia kujipanga vyema ktk uchaguzi ujao
  14. B

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee alivunja katiba ya BAWACHA uteuzi viti maalum aondolewe

    alyeandika mada atakuwa ficcm na ni mnafiki mkubwa mpotezeeni tu na mungu amsamehe
  15. B

    JamiiForums Tanzania Siri kuu kuhusu Escrow zafichuka

    Hapo watu waishaapigahela basi hii ndo ccm na tutaisoma number wote.
Back
Top Bottom