Frank Nyalusi, Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa Mjini, Asimamishwa kazi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,483
chadema.jpg
 
hivi CCM wanafukuza na CHADEMA wanafukuza!!!
Hao wafukuzwaji wakimbilie wapi? na nadhani bado wanahitaji kufanya siasa.
Hivi maonyo au kujisafisha kisiasa kuliishia kwa lowasa tu?
Acheni mambo ya ajabu inaonekana ni kama kosa la kwanza ukisoma vizuri hiyo barua.
kuna adhabu nyingine nje ya kufukuza katika katiba zenu?
mnachosha yani kila siku kufukuzana tu..!
 
Hii sijaipenda hata kidogo katika ustawi wa chama, mana watani wa jadi wanafurahia yanayotokea.

Kwani mmeshindwa kuonyana ndani ya vikao vyenu? Ila Huyu jamaa kimsimamo namkubali alikua anamtisha hadi RPC na RPC anaelewa somo, sasa sijui mtapata wapi jembe tena kama hili lisiloogopa kitu.
 
Lamda yeye msimamo ni kupinga ufisadi,bado anataka serikali ya majimbo,na amekataa kusaini pesa za kumsaidia kufanikisha ziara ya mgombea alieshindwa, kushukuru waliomnyima kura sasa CHADEMA ukiwa na msimamo kama slaa lazima utumbuliwe.
 
Huyu si ni Diwani? Nakumbuka ndiye alikuwa Diwani PEKEE wa CHADEMA 2010-2015 katika Halimashauri ya Manispaa ya Iringa Kwa Padri Petero Msigwa. Kwa sasa wa kuchaguliwa wapo 18 dhidi ya 3 wa CCM!
 
Naona vijana wa ulevin wamevamia huku kama nyuki.
Kuna ule wa jamaa kutupwa back Bench kule wanakuja na kuchungulia tu
 
Back
Top Bottom