Kama upendo upo kweli kwake na kwako fanya hivyo ila isiwe ya kukuuma, fanya Ile ambayo hata msipooana haitakuuma uwe kama umetoa sadaka. Kupata na kukosa hata ulipoweka tumaini yote yanawezekana kwahiyo tahadhari muhimu.
Watumishi wa NIDA ni wahuni huu mwaka karibia wa nane natumia namba tu ukienda kufuatilia eti vilikuja vikarudishwa. Mtu nipo dodoma NIDA niliandikisha Tanga Sasa nitajuaje kuwa vitambulisho vimekuja?.
Una hoja usikilizwe.
Maombi ndo msingi wa ukombozi wa hao jamaa. Ndo maana hata juzi Muft Zuberi wa kule kwa Mdorwa korogwe Tanga aliwahasa waislam wafunge kuomba elnhino isije.
So hapa tuanchoangalia ni spirit doctrine. Ambayo ndo lengo mahususi la Bukuku.
Hayo mengine ni yako na mtazamo wako kulingana na matakwa...
Sema vitu vingine vinatia hasira, unafika hatua unajiuliza hivi mtu kama mtoa post Wana ubongo au hawana. Heche kawa mbunge, ni mfanyabiashara.
Heche ni mfugaji wa Ng'ombe ni mkulima wa parachichi zao linalotajirisha vijana huko njombe ashindwe kununua gari la million mia?. Na milion sitini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.