sasa kama ndio hivi, mbona watakua wana filisi wa2,kwa maana wngne 2litoka mikoani, sasa kama walikua wanajua kua wana wa2 wao ya nn kuita wa2 wengi waje kwnye intrvw??au kama walikua na nia ya ku ajiri walio nao, kwann wali itangaza nje????
Jamanii hili tatizo litaisha lini??