Recent content by bwinila

  1. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni sahihi mwananchi kutozwa hela ili apate Anuani na Makazi (NaPA)?

    Ili mtendaji akuhudumie lazima awe na smart phone pia awe na bundle la kumuwezesha aingie online ili fomu yako ijazwe. Kwaiyo lazima bundle ulipie
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

    Amegusia alipo Ben Saanane?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Polepole tusemee na bei internet (bundle), tunapigwa?

    Atueleze pia yupo wapi Ben Saanane.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Wajitokeze pia waliomuua Ben Saanane
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanisa Katoliki kusitisha huduma za kijamii endapo uminywaji wa haki utaendelea kutukia Nchini

    Kila kata ina zahanati, kila kata ina shule za msingi na sekondary na bado serikali inatoa ruzuku kwa kanisa kuendesha hospital za kanisa. Serikari ipo imara na itaendelea kuwa imara.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili jijini Yokohama (Japan) kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa ticad 9

    Vikwazo vilivyowekwa na jumuiya ya ulaya bado vipo?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Nasoro Katuga hana papara ni very professional

    Anakuwa judge muda sio mrefu
  8. B

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Star times bado ITV bila ya kulipia uwezi kuona. TCRA wapo kimya. Tutaendelea kumkumbuka Magu
  9. B

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Star Times nao wameifungia ITV sio ya bure mpaka ulipie. Enzi za Magu haya mambo hayakuwepo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sikuona sababu ya kumtenga mke mkubwa wa Ndugai msibani

    Mwamba kaacha watoto wangapi kwa mke mkubwa na mdogo?
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maalim kaondoka na ACT WAZALENDO YAKE

    Mbowe pia kaondoka na Chadema yake
  12. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Samia yupo smart kwenye hilo. Nizamu ya wakristo. Sema hapa mama anaweza akafumba macho kkkt wakatoa raisi
  13. B

    JamiiForums Tanzania UDOM ni chuo chenye kozi nyingi za ajabu ajabu na kimetumika kuwaharibia vijana wengi future zao, sasa wameanza kujishtukia!

    LAW nayo nikimbembe kama huna muhuri wa law school. Kama unatoka familia za kimaskini na huna godfather sio course ya kusoma
Back
Top Bottom