Recent content by Bweru

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema apandishwa kizimbani Mahakama Kuu Arusha, anyimwa dhamana

    Watamhangaisha sana ........... mwishoni ukweli utatamalaki. Siku itafika ambapo watajutia huo ukatili wanaowafanyia wapinzani. Mandela alikaa jela miaka 27 lakini hatimaye alitoka na kuja kuwa Rais. Nchi ni yetu sote, siyo ya wanamagamba peke yao. Viva Lema. Viva Ukawa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Huo siyo uungwana. Jibu gani hilo? Kama huna la kusema nyamaza. Hatuhitaji matusi humu JF
  3. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA kususia Bunge la 11 linaloanza Jumanne ijayo!

    "Kususa susa ni tabia za kike", mbona unawadhalilisha Wanawake. Acha tabia ya unyanyapaa.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Bravo, imekaa vizuri
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Hakika Naibu Mawaziri hawana kazi. Ona: Naibu Waziri hawezi kutia sahihi waraka (document) ya sera ya Wizara; Pili Naibu Waziri hawezi kukaimu Wizara kama Waziri hayupo; Tatu Naibu Waziri si mjumbe wa Baraza la Mawaziri. Majukumu yote hayo ni ya Cabinet Minister. Waziri akisafiri Rais humteua...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

    Sasa umesema nini? Si ungejinyamazia tu!!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

    Kwa nini kuuma mdomo? Mikononi mwa Mafisadi of course. Kwani ccm ni nini? Si chama cha mafisadi? Chama cha Mapinduzi aliondoka nacho Nyerere.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wanafunzi, wasafiri bure

    chanzo?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wanafunzi, wasafiri bure

    kigumuuuu!!!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Ndiyo unajua leo kuwa Clouds si lolote, si chochote. Kutwa nzima wanaongea visivyoeleweka. Achana nao. Hao ni mitume wa ccm!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    Hizo ni ndoto za mchana. Hajiuzuru mtu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Tuvute subira na tuombe sana Mungu awape hekima viongozi wetu. Kuisambaratisha ccm ni dhahiri na mwaka huu haitoki. Mungu ibariki UKAWA, Mungu ibariki Tanzania
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Labda anataka kuongoka kama Mtume Paulo aliyeitwa Saul
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatuna kofia mbili, Lowassa atakuwa chini ya viongozi wa chama

    Yote yote yawe. UKAWA angalieni mnamkaribisha Lowassa kwa nafasi gani. Isije ikawa kama ya Mrema, ambaye kila anakokwenda anataka kuwa mkuu wa sehemu hiyo. Take care.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Intelijensia na Stratejia ya CCM ni dhaifu sana.

    "Profesa Maji Marefu?" Bahati mbaya kwao mtabiri waliyemwamini na aliyekuwa akimlinda JK kwa majini ameshatangulia mbele ya haki. Oh! Sheikh Yahaya Hussein (RIP).
Back
Top Bottom