Recent content by Bwege2030

  1. Bwege2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Ndoa walifungia wapi kanisani au SERIKALINI?
  2. Bwege2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Ni tofauti...kikristo Kuna utatu...na ukiislamu Kuna umoja..
  3. Bwege2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Asante sana kwa ushauri
  4. Bwege2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Ningehitaji uendelee nijifunze zaid
  5. Bwege2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Asante sana kwa ushauri wako
  6. Bwege2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mwanamke wa dini la Anglican kuoana na mwanaume wa dini la kiislamu?

    Habari Ndugu zangu, Mimi Kuna jambo napenda kuwashirikisha labda huenda naweza pata suluhisho..kama kuna mashehe humu au wachungaji mnisaidie.. ~Mimi binafsi Kuna Binti tumependana, tumependana mpaka kwenye hatua ya kuwa tusipoonana Binti anaanza kulia...ila sasa Binti ni wa dini la Anglican na...
  7. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyumba 6 inahitaji tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi?

    Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
  8. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Tajiri hununua mali, maskini hununua hisia

    TAJIRI HUNUNUA MALI,MASKINI HUNUNUA HISIA Tofauti ya utajiri na umaskini haipo kwenye kiasi cha mshahara,bali kwenye Akili ya Kuwekeza (Investor Mindset). Utajiri wa kweli haupimwi kwa pesa unazopokea,bali kwa mali zinazokulipa hata ukiwa umelala. Mtego wa Hisia dhidi ya Mali Watu wengi...
  9. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Being broke is hell — nobody cares about you

    Ukweli mchungu huu Mda mwingine inabidi tu tukubaliane na ukweli..utuumize tupate njia
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Being broke is hell — nobody cares about you

    I appreciate your wisdom
  11. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Being broke is hell — nobody cares about you

    You've a Smart and sharp mind ,thanks
  12. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Being broke is hell — nobody cares about you

    - BEING BROKE IS HELL — NOBODY CARES ABOUT YOU Listen up, Men. Let’s cut the crap — nobody respects a broke man. Not society. Not your circle. Not even the people you love. I’m not here to “motivate” you. I’m here to slap the truth into your chest. Being broke is hell. You wake up with...
  13. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kutoka kupambana mpaka kumiliki, safari yako ya utajiri

    Asante sana kwa ukumbusho,nitamsema kwenye walaka ujao
  14. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kutoka kupambana mpaka kumiliki, safari yako ya utajiri

    KUTOKA KUPAMBANA MPAKA KUMILIKI,SAFARI YAKO YA UTAJIRI. Watu wengi mitaani wanasema. Maisha ni magumu lakini ukweli ni kwamba maisha yanakuwa mepesi pale unapoelewa sheria za pesa. Huwezi kucheza mpira wa miguu bila kujua sheria za faulo na penati vivyo hivyo huwezi kuwa tajiri bila kujua...
  15. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Mawasiliano Tanzania (Q4 2025)

    SEKTA YA MAWASILIANO TANZANIA (Q4 2025) jumla ya usajili wa simu za mkononi ulifikia milioni 106.9 kufikia Desemba uku ongezeko la matumizi ya simu janja (smartphone) lilipanda hadi 41.82%,ufikiaji wa huduma ya 5G ulifikia 30.1% ya idadi ya watu, na wastani wa kasi ya mtandao wa simu ulikuwa...
Back
Top Bottom