Recent content by Bwasheemweusi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtu marketing kwa ajili ya biashara ya utalii anahitajika

    tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box , tuambie kwanini ni ww na si mwingine kwa maneno machache tupe pia uzoefu na ujuzi wako kwa kifupi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji Bussiness plan ya Kampuni kwa ajili utalii Tanzania

    Nicheki DM Ntakutumia sample
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji Bussiness plan ya Kampuni kwa ajili utalii Tanzania

    Habarini wanajukwaa Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini. Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumiwa mzigo wangu kutoka australia

    Habari za siku wakuu , kuna rafiki yangu anataka kunitumia mzigo yuko australia , sasa ni ipi njia salama ya mimi kupata huo mzigo nipo Moshi
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umama wa kambo umenishinda kabla hata haujaanza rasmi!

    mungu akusaidie
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji touch screen ya SONY Z3 mini

    Habari wanajamii, najua zinauzwa zote screen na touch screen lakini nahitaji touch tu kama inawezekana ili kupunguza gharama kama inawezekana asante
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye HP 630 iliyokufa kabisa yenye cover ya nje nzima

    Habari wanajamii , natafuta cover ya HP 630 hata kama computer haina kifaa chochote mwenye nayo anijulishe tafadhli
  8. B

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma bachelor ya computer science anahitajika

    Nafasi ya kazi inatangazwa kwa mtu mwenye taaluma ya computer kiwango cha bachelor degree mwenye uwezo wa ku maintain e-comerce site kwa ajili ya kampuni yetu inayokusudia kuuza vitu mtandaoni akiwa na bachelor degree ya computer science kutoka vyuo vya UD, St joseph ,IFM itapendeza zaidi tuma...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Why do Western media get Africa wrong?

    Okey
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naitaji watu wenye uelewa mpana na busara wanishauri juu ya huyu mchumba wangu

    Mungu Akusaidie
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Mghwira, Mradi wa maji UBWS (Machame Mashariki) kuna ufisadi Mbowe kashindwa

    nashukuru nyinyi mnaelewa nachojaribu kuzungumzia hili swala inabidi tulipazie sauti wanatuonea kwasababu hawajafuatiliwa kwa ukaribu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Mghwira, Mradi wa maji UBWS (Machame Mashariki) kuna ufisadi Mbowe kashindwa

    ufafanuzi hata wakiutoa kwa mtu mwenye akili timamu lazma utajua unaibiwa tu.... na viongozi niliowataja ndo wahusika wakuu katika hili eneo RC ndo raisi wa mkoa mbowe ndo mtetezi wetu ana kura yangu yule
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Mghwira, Mradi wa maji UBWS (Machame Mashariki) kuna ufisadi Mbowe kashindwa

    Si ndo maana nimesema mbowe kashindwa kutusaidia inawezekana kajaribu lakini hatutaki wanaojaribu tunataka wanaofanya kitu kinawezekana so mkasema RC huyu anaweza akafanya kitu kikatokea
Back
Top Bottom