Habari wana MMU,
Sasa kuna huyu shemeji yenu, hapa, anamsifia sana Diamond na wema sepetu, yaani kila kitu huyu kaka kapendeza, mara huyu kaka ana nyota, mara diamond sijui kafanyeje, yaani kwake yeye diamond na wema hadi kero, na mimi binafsi niko tofauti kabisa na hawo akina diamond et al...