This is a good sorce of revenue.It is our hope that banks,financial Institutions and Telecom. Companies will comply to this
But what are the measures for non compliant?
Leo asubuhi daladala limepalamia ukuta wa kanisa kuu St Joseph, Samora Drive na vilema wawili omba omba waliokuwa langoni wamegongwa na kukimbizwa hospitali.
Wakulaumiwa ni wewe uliyekubali risiti pingufu.
Utakubali vipi taifa lako liibiwe huku unaona.
TRA wanasisitiza kudai risiti kwa kila kitu unachonunua lakini watu wanakataa kufanya hivyo.
Hawatakiwi kulaumiwa TRA ni wewe wa kulaumiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.