Bro, ningepata nafasi ya kuongea neno moja kwako, basi ningekueleza tu (Fuata hisia zako) maana we ndio uliependa, na kipenda roho ula nyama mbichi....fanya maamuzi magumu ulete uzi mpya.
Mkuu, asilimia kubwa ya viwanda hapa Tz ndio utaratibu wao wa kazi, ukiwa kiwandani inatakiwa ufanye kazi muda wote, we kama unataka raha vumilia hadi pale utakapopandishwa cheo mkuu, ndio utakula bata uache kulalamika kindezindezi, kaa kwa kutulia huenda degree yako ikazaa matunda hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.