Recent content by Bwana Mrefu

  1. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hilo PDF la jana halina ushuhuda?
  2. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hii ina uzi wake kule mkuu.... huku ni kwa wasaka tonge
  3. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hii PDF ya leo Hakuna ushuhuda?
  4. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hako kapdf haka ushuhuda?
  5. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna PDF huko, leteni ushuhuda.
  6. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kada ya afisa tawala II nafasi zimeisha nini? Ni muda sana hawajatoa mqjina
  7. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kabla au baada ya PDF kutoka?
  8. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana mkuu, barua kwenye acc liiona leo au jana?
  9. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania Wamama badirikeni kidogo

    Kwani unakimbizwa? Tulia halafu uandike upya
  10. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

  11. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daah,,, mkuu kwenye huu uzi hakunaga hii ya "nitaendelea" we charaza tu gazeti 😁
  12. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania Brake Master Cylinder: mafuta ya brake kuvujia kwenye booster housing. Nini tatizo? Nini tiba?

    Wengi huweka DOT 4 kwakua ndio inapatikana kwa wingi sana madukani. DOT 3 kuna kipindi ilihadimika sana
  13. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania Brake Master Cylinder: mafuta ya brake kuvujia kwenye booster housing. Nini tatizo? Nini tiba?

    Zingatia sana recommended brake fluid (DOT 3/4), tatizo la master cylinder hutolisikia.
  14. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Hapo mbona kuna icon ya "on going call" kwamba wakati unapiga hii screenshot kuna simu ulikuwa unaongea nayo au unapiga, kama ni hivyo basi hiyo ndio sababu ya kuonekana kwa hiyo icon ya kijani
  15. Bwana Mrefu

    JamiiForums Tanzania Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Ningekupiga ngumi moja nzito mno uingie per**d[emoji35][emoji35]
Back
Top Bottom