Recent content by bwakila

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wazomewe! Awataka CHADEMA warejeshe nyumba za Serikali

    Unayedhani Zitto atapotea katika siasa pole.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Televisheni ya Star TV yatuhumiwa kuchochea vurugu kwa kumkashifu Edward Lowassa

    Ukawa ikiwekwa kete ngumu mnalalamika. Ninyi mlidhani kampeni ni nini? Sio siku nyingi mtaanza kuimba ule wimbo wenu maarufu wa tumibiwa. Kazeni msitake kuonewa huruma.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

    We hata ukimchukia hana hasara. Alipokua kwenye mkutano wa Lowasa wa uzinduzi wa kampeni za kura za Maoni za ccm pale Arusha mbona hukumchukia acha wivu wewe piga mboyoyo. Kijana anavuta mkwanja
  4. B

    JamiiForums Tanzania 'Muziki' wa CCM wamzidi Lowasa

    Magufuli wetu ccm! Kwani Lowasa wa wapi? Si wa ccm pia. Duni wa cuf. Si so wageni nchi hii chadema tunawafahamu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wagombea wamesahau kuwa taifa linaombewa

    Ccm ipi mafisadi waliotufikisha hapa tulipo. Wakitumika ktk vyeo vya juu kabisa katika serikali ya ccm. Leo wamekumbatiwa na kuonekana malaika. Hapo kuna mageuzi yenye tija? gongo ni gongo hata ukiiweka kwenye chupa ya maji ya kilimanjaro itabaki kua gongo tusidanganyane
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusulubiwa vikali kwenye mdahalo

    Rais atafungua bunge kwa hotuba ya dakika tano? Eti maneno yenye mvuto. Rais utahutubia UN kwa Dakika 5. Acheni masihara ninyi hata kama mna mahaba naye si kihivyo. Rais ni lazima aonyeshe uwezo wa kueleza kwa kina kile achoamini.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) waionya Tanzania juu ya ufisadi wa Lowassa

    Ukawa acheni mboyoyo mnadhani hiyo October 25 mnapiga kura wenyewe. Wekeni maneno ya akiba. Mtaabika
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Dully Jr. A cha kutokwa na povu la mdomo ngoma ya kitoto haikeshi mtaishia kunawa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Raisi wa monduli sio Tanzania
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu za CCM kuanguka vibaya na UKAWA kushinda uchaguzi Oktoba 25

    Hakuna jipya hapo ni yaleyale ya chadema walishatuambia lowassa ni fisasadi namba tisa
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Mabadiliko tuliyokua tunataka si kwa lowasa na Sumaye watu waliopewa nafasi ya juu kabisa ya uongozi na wakashindwa kutuletea NEEMA. Leo watawezaje. Ni magumashi tu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ka bado upo CCM Jijue kuwa wewe ni muathirika

    Unataka tubaki na chama kimoja
  13. B

    JamiiForums Tanzania CCM mlizarau maoni yetu ya katiba, ngoja tuwaadabishe.

    Sio lazina Lowasa awe raisi wa nchi hii.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Lowasa uraisi labda wa monduli kwa Tanzania hana nafasi alizofisadi zinatosha
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kama yangekua hayastui msingeweweseka. Mngekaa kimya
Back
Top Bottom