Recent content by Bwai

  1. Bwai

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

    Hivi mkuu Siwezi kuzikataa Hizo elfu mbili mbili hasa kama nimechukua kiasi kikubwa cha fedha?
  2. Bwai

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu katika mwili wa mwanamke hunisisimua kama hii.!!

    Wewe Siyo reee kweli?
  3. Bwai

    JamiiForums Tanzania Unakubalije kuachishwa kazi na mwanaume?

    Mimi nilimwachisha baada ya wote kukaa chini, wote tuko busy na kazi za watu halafu yake ilikuwa inapay very less while Mimi hela ya matumizi ninayompa ninayompa ni kama mara mbili hivi na anachokipokea. Tukaamua bora tuwe na ka mradi ketu nyumbani kwa ajili yake na watoto wetu wasikose malezi...
  4. Bwai

    JamiiForums Tanzania Aina Kumi Za Waume Ambao Wake Zao Wanakereka Kuwa Nao

    Najiona Kama mengi uliyosema Hapa huwa nayafanya, kuwasiliana na mama, kumfatilia mke, nk
  5. Bwai

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu naomba msaada

    Tatizo unamwonea huruma, mwandae vizuri, alainike paka mate sukumumiza hata kwa nguvu Sana, atapata maumivu makali ila yatapoa tuuuuu. Halafu wanawake hawafanani, wengine chap tu kitu kimeenda ndani. Utakuja kujutia siku ukikuta ilishatolewa.
  6. Bwai

    JamiiForums Tanzania Tusijisahau Arusha City wenyewe wanaitwa Waarusha!

    Walikuwa ila kwa sasa mkuu mji umekuwa dominated na wa kuja wakiongozwa na wachaga, wairaqw, wapare, warangi, wameru na kuna idadi kubwa ya wasomali na jamii kutoka Tanga, tukiongea ukweli Arusha ukitumia ukabila kushinda uchaguzi ni big kukiwa na fair ground, fanya utafiti mdg hata kwa viongozi...
  7. Bwai

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania ni warembo sana

    Ni kweli kabisa, kila kanda ya nchi yetu nimeishi. Kuna wanawake wazuri sana
  8. Bwai

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi

    Kikubwa tahadhari ni muhimu, mlishamalizana na mtu, unaendelea kumfata fata ili umkomoe asiishi kwa amani kisa tu unajua taratibu zao za kazi ni ngumu. Bado haitoshi unaenda kazini kwao unamkuta mlangoni yuko lindo na silaha yake, anakuuliza umefata nini huku unamjibu shit! si wote wenye moyo...
  9. Bwai

    JamiiForums Tanzania Kipi unajivunia kwa mpenzi wako wa zamani?

    That care, hajawahi nificha upendo wake kwangu. Kuna hali ngumu nilipita ila ni yeye aliyehakikisha sikati tamaa. Tatizo baba yake alinikataa nami sikutaka kuifarakanisha familia yao, maana hadi mama yake nilimletea shida kubwa kwenye ndoa yake. Am married, yeye bado ila akinimic atanitafuta...
  10. Bwai

    JamiiForums Tanzania Derby ya Boca Junior na River Plate sasa kupigwa Santiago Bernabeu

    Mi Niko na river plate.
  11. Bwai

    JamiiForums Tanzania Derby ya Boca Junior na River Plate sasa kupigwa Santiago Bernabeu

    Boca junior anaongoza ila game siyo tamu kabisa, tofauti na kelele zilizo nje ya uwanja.
  12. Bwai

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kujua jinsi (sex) ya mtoto tumboni bila ultrasound

    Mpaka hapa nahitimisha kuwa mke wangu ana mtoto wa kiume ndani ya tumbo lake.
  13. Bwai

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Sokoine Mbeya: Prison Tanzania 1 - 3 Yanga Afrika

    Labda hufatilii mpira jombii zaidi ya hii ligi ya bongo, juzi kati Marcus rashford alipogwa redcard vs Burnley kwa kosa kama hilo la ngasa, kwenye mpira haya yanatokea sana na yataendelea kutokea banana binadamu siyo wote wanaoweza kuzuia temper, akishajaa anajikuta anafanya kitendo cha ajabu...
  14. Bwai

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za rushwa ya ngono UDSM ni chuki kutoka kwa wale ambao hawakusoma pale

    Na hichi ulichokiandika unakiita utafiti? Acha kuichaufua UDSM kwamba ndiyo iliyokupa hiyo elimu uliyonayo, uwezo wako bado sana, jenga hoja uoneshe kweli kuna utafauti mkubwa kati ya wana udsm na vyuo vingine.
  15. Bwai

    JamiiForums Tanzania Vijana kumi bora wanaostahili kuingia IKULU/kuwa viongozi wa nchi

    Hata angeingia nani bado hataacha mistreatment, wafaransa walimchagua Emmanuel macron kwa mbwembe zote because of his socialist ideas, Leo hawamtaki tena, wengine wanamwita global representative na hayuko kwa ajili ya wafaransa. "Wahasiasa ni wazuri tu pale wanapokuwa hawana madaraka makubwa"
Back
Top Bottom