Recent content by BVR

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada/ushauri

    Nilimaliza form six 2007, nikapata Dv II point 10 (HKL) Nina Bachelor ya Education. Natamani kusoma Law . Je Kwa mfumo wa vyuo naweza kudahiliwa mwaka huu kusoma Degree ya Sheria ?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa awaambia wananchi wasinunue bidhaa za ASAS kwenye kampeni, NEC ipo wapi?

    Wengine waliomba wenzao wapate kansa huyu anataka mwenzao afilisike
  3. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Sasa gufuli ndo kaongea nini hapo?? Anaorodhesha tu mambo kama ilivyo destur yake ya kukariri vitu, alafu anaipinga serikali yake mwenyewe mwanzo mwisho, pimbi tu
  4. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hakuna LOLOTE, vijijin ndiko mahali WAMEICHOKA na wanaichukia ccm kuliko mjini, na isitoshe hao unaowaona jangwani wengi si Wa dar, Bali wametoka pwani, Moro, tanga, Zanzibar, Lindi, na Mtwara hapo hakuna ushindi wowote kaka
  5. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hakuna rais pale wasanii watupu
  6. B

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Acha matus, unakua kama babu yako anaezeeka vibaya mkapa
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu jamani, mstaarabike muda mwingine...

    Shida yako kaka hutaki kujikubali uhalisia Wa maisha yako, yani unataka usomeke kama upo matawi wakat life yako bado tait, Kwa stor hii wewe unamgogoro na nafsi yako na wewe ndo cio mstaarabu. Ktk maelezo yako yoote hakuna mahali panaonesha mchumba~mke wako eitha aliboreka au kukereka na hao...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    Hakuna kipigo chochote this year, askari wetu wameshasoma upepo, so wameshajiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Ni jambo LA kupongeza jamani 115064397978706872561"]ally SALUM[/URL][/FONT][/FONT] 0[/SIZE][/FONT][/COLOR] Moja ya kazi za Dr maguful ni kesho ni uzinduzi wa magari yaendayo kasi kuanzia saa nne asbh tutapanda bure mpka kimara na kurudi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Am in

    Ntafurahi saaana kuwa sehemu ya jukwaa hili, kwani sasa sitabaki nyuma tena katika huu mwendo wa mabadiliko katika nchi yetu. Ahsanteni sana.
Back
Top Bottom