Recent content by buzz

  1. B

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Naomba ufafanuzi kuhusu wakuu wa mkoa/wilaya watakuwepo? Wanapatikanaje? Madaraka ya rais sijaona yamepunguzwaje. Kura za ushindi wa urais inakuwaje endapo aliyenda ana ushindi mdogo upande moja kwenye serikali ya shirikisho?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atoa shilingi

    Namkubali Lisu kwa hili na ataibuka mshindi kwa vyovyote vile.
  3. B

    JamiiForums Tanzania James Ole Millya na Joshua Nassari kuunguruma kesho Mbulu

    mbungu wa mbulu naye anatakiwa awepo kwenye mkutano huo pia. Mbona hajatajwa uwepo wake?
  4. B

    JamiiForums Tanzania James Ole Millya na Joshua Nassari kuunguruma kesho Mbulu

    Mbona hatusikiijina la mwenyeji wa mkutano. Mbunge wa Mbulu ni wa Chadema ina maana hatashiriki hiyo mikutano?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Membe: Malawi haiwezi kuishtaki Tanzania ICJ, Tanzania haiitambui ICJ

    Membe is right. Amejibu vizuri sana.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la wahariri wagomea kuandika habari zote za jeshi la polisi

    Wasusia Kuandika habari za serikali na chama cha Magamba (CCM) maana ndio waliotoa agizo hilo. Bila kushinikiza tume huru na kutoa ukweli kwa umma haitasaidia kabisa. Ila naunga mkono kwa wana habari kuweka Documentation yao kwa marehemu jinsi mambo yalivyotokea ili iwe kumbukumbu kwa siku...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Kitakacho wamaliza viongozi wote wa dini ya Kiislamu ni kuuweka udini mbele kuliko uwezo wao. Zitto siyo ajabu akang'ang'ania kuugombea urais 2015 japo anajua hataweza kukubaliwa na chama chake ili kukigawa chama lakini sasa amejionyesha mapema yeye ni wa namna gani. Wanaomuunga mkono wana fikra...
  8. B

    JamiiForums Tanzania BARAZA la Mawaziri Kivuli, Kambi Rasmi ya Upinzani baada ya mabadiliko

    Hapo kwa KUB nashauri awe na naibu na kwa Silinde pia. TAMISEMI inataka usimamizi wa kina zaidi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Shibuda kufukuzwa CHADEMA

    Naungana na wazo lako 100% hakuna haja ya kumwekea vikao mnazidi kumpa umaarufu. Dawa yake BAVICHA tu basi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania JK amebanwa na mfumo mzima wa CCM lakini inaonyesha dhahiri hapendezwi na ufuatiliaje wake

    JK amebanwa na mfumo mzima wa CCM lakini inaonyesha dhahiri hapendezwi na ufuatiliaje wake katika uwajibikaji.
  11. B

    JamiiForums Tanzania JK alikusudia Kutudanganya, au alidanganywa ili atudanganye?

    JK kusema kweli katoa uhuru wa kweli wa mambo kuchambuliwa sasa ni wakati wa sisi kutunga sheria mtu apelekwe mahakamani moja kwa moja baada ya hapo lakini yeye kama mkuu wa nchi hawezi kufanya hivyo maana sheria nazo zatungwa na Bunge. Na wabunge ndio wanakuwa wakali bila kujua je rais ana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

    Asante kwa taarifa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Jan Makamba ni mnafiki mkubwa hafai. Hata mie nilimwamini lakini kwa hili la sasa hivi ni wakuogopwa kama ukoma.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanaoamini MAGEUZI kufanya mkutano na waandishi saa tisa alasiri leo hii!

    Zito komaaa na msimamo wako kesho hoja ipelekwe bungeni kutokuwa na imani. Tukisema eti Pinda hana makosa wakati yeye hataki kuwawajibisha mawaziri basi yeye abebe msalaba wao. Baada ya Pinda kutoka atafuata JK tena atatoka kwa aibu zaidi. JK kwa sasa hana tofauti na Gadaffi aliye waita wananchi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    Huku ni kulidharau bunge na wananchi pia. Sasa sote kwa pamoja ni kumwadhibu jk kwa kutokuwa na imani naye pia. So stupid!
Back
Top Bottom