Recent content by Buza Kwa Mpalange

  1. Buza Kwa Mpalange

    Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL?Sababu ni hizi hapa

    Kwanini matapekli wengi wanatumia namba za TTCL na kwanini wanaotumiwa SMS za kitapeli wengi ni wateja wa TTCL? Sababu ni hizi hapa 1. Watu wa kwanza kulaumiwa ni HUDUMA YA WATEJA wa ofisin za TTCL. Hawa wanasajili laini zetu na ndio wanakutana na matapeli kisha wanatuuza, Mfano ni huu Mimi...
  2. Buza Kwa Mpalange

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwanzia leo nikitumia laini ya matandao wenu NIITENI MBWA niko palee keko
  3. Buza Kwa Mpalange

    Mradi gani unafanyika kwenye bonde la Mkwajuni?

    Leo katika kuzurura kwangu nikajikuta naelekea Masaki. Nikiwa ndani ya daladala nikajikuta tunapiga Kinondoni lililo bonde la Mkwajuni nimekuta magari yanapanua ule mto huku mengine yakichota mchanga na kupeleka upande wa pili ya barabara. Je kuna mradi gani unawekwa pale?
  4. Buza Kwa Mpalange

    Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

    Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo. Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza. 1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini 2. Hakina umeme 3. Hakina maji mahabusu sijui...
  5. Buza Kwa Mpalange

    Changamoto za Mtandao wa TTCL kwa wateja wake

    Bill nas ili tupate connection mpya
  6. Buza Kwa Mpalange

    Changamoto za Mtandao wa TTCL kwa wateja wake

    Hatimaye TTCL wameanza kukosa ubunifu kabisaaa 👉Now wapowapo tu ubunifu ni 0.05%. Badala ya kuumiza kichwa kuboresha huduma, wameenda kumsainisha Nandy kwenye lebo yao ya Rudi Nyumbani Kumenoga ili wazurure kufanya shoo mikoani. 👉Unapiga menyu yao ya kuangalia salio. Ujumbe unakuja kuletewa...
  7. Buza Kwa Mpalange

    Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
Back
Top Bottom