mmmhh!!! Utata kweli yani mtu kwenda kun***a ndo mpaka uvue pete? Basi kazi kama wanandoa wote wangekuwa wakiingia kukata gogo wanavua pete zao
Lol!!!!
asante mpendwa kwa kunisaidia kumjibu,
kaka naamini kuna watu wenye umri kama wangu wanatafuta wenza ndo mana nikapost hapa nikiamini nitapata anayelingana na mimi
King'asti;Naweza kumuwakilisha kakangu? I mean kuingia mkataba kwa niaba yake?
kwani yeye yuko wapi? Kwa nini asiwepo yeye binafsi nadhani hiyo haijakaa vizuri
Habari za muda huu wana JF? Poleni na shughuli na mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta riziki. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta partner wa maisha na leo nimeona nije humu nikiamini mume anapatikana popote pale, nina miaka 32 mkristo, naishi Dar. Natafuta mume ambaye anajitambua, mwenye...
Nicas Mtei;
Unaitwa NASRA halafu shangazi anakubaka? Kiaje? Au shangazi yako ni mwanaume?
Bora ushangae wewe mana na me nilikuwa najiuliza jinsia yake mana anasema mke wa mjomba wake ndo anambaka halaf anamwagia vitu fulani.........!!!!!!!!! Hapo sijaelewa bado najiuliza.........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.