Recent content by Buyambaj

  1. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Kwakweli siasa kama haitasha ktk inchi hii hata kwa uhai wa mtu
  2. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania Former Rwanda presidential candidate accused of forgery

    Mtakoma Rwanda mambo haya kumbe kote Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Buyambaj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    haya mambo ya ndoa bana magumu sn ndugu yangu ila chakukushauri ita ndg zake na wakwako waonyeshe sms zote usifiche hata 1 huyo hataacha pepo hilo lililoingia nigumu sn kiacha umalaya huo mtafutie washauri wazuri wawa shauri Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Buyambaj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

    Hii nayo kali sn sijaipata
  5. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Duuuh haya makubwa
  6. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Duuuuh hatuyawezi
  7. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kusikilizwa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema, akubaliwa ombi lake

    Duuuuh mo hata sijui kinachoendelea
  8. Buyambaj

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Pole dada kwa hilo vimilia hajaja wakwako
  9. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

    Sio kweli nibwebwe tu za watu wanaushahidi gani mpaka kujua madeni walio kopa ndg zake huyo mtoa maanda?
  10. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Pole sana
  11. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya yaua bodaboda Kahama

    Picha hatuoni tupieni picha
  12. Buyambaj

    JamiiForums Tanzania REA: Matumizi ya umeme vijijini yamepanda kutoka 2% mwaka 2007 hadi 41% mwaka 2016

    Jamani huu umeme mbona kwetu haufiki mnatupa takwiimu za madishi wakati kwetu umeme hàmna hata tone hata nyumba moja haina umeme halafu mnasema umeme asilimia zipi
Back
Top Bottom