Recent content by Butungo

  1. B

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Tatizo linakuja pale unapotaka fikra zako ziwe kwa watu WOTE, mtu alitoa mtazamo wake wake tofauti unaanza kusema itamgarimu kwani lowasa ndo alileta mafanikio ya diamond mpaka hapo alipo?
  2. B

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Vizuri pia boss me sipungukiwi Na kitu namaneno yako ya hovyo as long as nimeshamjazia ndg yangu basi nawewe komaa na hizo siku tatu za kuzingua kwa TCU wengine hatujazoea kujibizana Na maneno ya kipuuzi.
  3. B

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Pole sana lakini me nimemwombea Mdogo wangu wala haijasumbua Na ilinichukua kati ya dakika 10 mpaka 20 kuwa nimemaliza.
  4. B

    Tanzia: Baba yake Jery Muro afariki dunia

    Pole sana ndugu,jamaa na marafiki wa familia hiyo.
Back
Top Bottom