Recent content by Butiyangu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tunaonewa sana

    Lkn kiongozi km kweli sisi ni mifugo ya Mungu mbona sijawahi kuona Mungu akimchinja binadamu Ili amfanye kitoweo? Km ilivyo kwa kuku, ng'ombe n.k? Au unamaanisha Mungu huwa anakula mizoga? Piga magoti uombe msamaha kwa Mungu. Mungu amekupa ufahamu kuliko wanyama wote pia amekuumba kwa mfano...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Royal tour tungetumia watu Maarufu duniani ila sio rais Samia

    Ni kweli mm naunga mkono hoja, maana kinachoendelea sasa hivi ni kupromote hiyo filamu badala kuhamisisha utalii, mm naamini kwy hii filamu tungemtumia mtu maarufu km vile Willy Smirth hata km tungetumia Bil 50 kuandaa, lkn lazima fedha zingerudi tu, watu wangeinunua hiyo filamu kwa wingi, pia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Mm nilikuwa nasubiria kwanza yeye aniandikie Barua kabla ya mm kumjibu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Mm nilikuwa nasubiria kwanza yeye aniandikie Barua kabla ya mm kumjibu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Sawa kiongozi nimekusoma
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Hapo sijakuelewa kiongozi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Zelensky na Umoja wa Waukrain Vimeisaidia sana Ukrain Kutotekwa na Urusi Mapema

    Hii vita ni ya kimkakati, miaka kadhaa ijayo Urusi itavamiwa na NATO, kinachofanyika sasa hivi ni kusoma uwezo wa Silaha za Urusi, kwa mtazamo wangu hii vita ilipangwa na NATO na Urusi nae kaingia Kichwa Kichwa, watu sasa hivi wapo kazini kuangalia uwezo wa Silaha zake tu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Nimejifunza jambo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Nimekuelewa kiongozi, uzuri hata yeye anakili kabisa kuwa pesa amepokea
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Kuaminiana ndio tatizo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Hbr Wana JF Mimi ni mjasiliamali, najihusisha na ununuzi wa mashamba kisha huwa nakata viwanja. Mwaka 2020 nilipata dili ambalo kiujumla ndio ilikuwa dili yangu ya kwanza kubwa, kuna jamaa yangu aliachiwa Shamba kulisimamia ambalo lina ukubwa zaidi ya heka 3. Jamaa alinijulisha ya kuwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatuwezi kuajiri Watu wapya kila Mwaka. Mnarundikana Ofisini pasipo kazi

    Sawa hatuwezi kuajili watu kwa sababu kupanda vyeo, lkn ujue kila Mwaka watu wanastaafu, wimbi la Askari wanaostafu ni kubwa Sana kuliko wanao ajiliwa, swala kupanda vyeo ni matakwa ya kisheria za Kazi na uhitaji, inawezekana usipandishe vyeo sawa lkn kuna jukumu fulani Ili litekelezwe ni lazima...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwani Urusi anatengeneza Silaha kwa ajili USA tu? Swali la kujiuliza Urusi ana muweza USA kijeshi? Hivi mnakumbuka USAR ilikuwa na nguvu zaidi duniani lkn unakumbuka nini kiliitokea mpaka ikasambaratika? Nani alihusika na kusambaratika kwa USSR? US walihusika kwa asimia 💯. US hatujawahi...
Back
Top Bottom