I'm very sorry for saying this ila wewe unaonekana una upumbavu wa miemko. Nimeuliza "kwani nyerere aliwezaje?" my stance was neither pro nor ant. Unakurupuka kwa mihemko yako pasipo kuelewa msingi wa swali na tayari ushanijua kuwa mm maskini🤣
Hili hoja yako ieleweke vizuri ungesema tu serikali itafute vyanzo vingine vya mapato ili ku service huduma flani. Kutafuta mapato ya serikali kwenye kodi asa kodi itakayohusisha magari ni kufanya watu washindwe kuyanunua hayo magari coz gari zimekuwa imposed na kodi nyingi sana kama nilivyo...
Sina hasira ila muandiko wako unaonesha kodi haujui bado...tax discipline ni pana sana. Ata hoja uliyoleta inatokana na uelewa wako mdogo wa kodi..ipo hivi huwezi kujadili kodi juu ya kodi by default hiyo hoja itakuwa haijadiliki. Hoja za kisomi zinatokana na tafiti na sio kukurupuka tu Boss.
Hahahah!!!! kwani hoja za CAG zinaundwaje?.... Anyway kwani mapato ya serikali lazima yote yatokane na kodi...ndio mana kuna tax revenue and non tax revenue. Serikali bado inauwezo wa kutafuta vyanzo vingine vya mapato visivyotokana na kodi. Sifa mojawapo ya kodi yani tax trait kodi haipaswi...
Acha kukurupuka tafiti zinaonesha TRA wanakusanya only 30% capacity yao bado ipo chini sana kuna factors nyingi sana zinazopelekea hilo ikiwemo man power na bado kuna sectors nyingi bado hazijarasimishwa. Tukija kwenye kodi za magari..kumiliki tu gari lazima utalipa kodi either direct on...
Hapo itaongeza tu mrundikano wa kodi ambao ata usimamizi wake utakuwa mgumu na kuwapa mzigo mkubwa wananchi. Fikiria kwanza tax imposed on motorvehicles mpaka sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.