Nawashangaa watu kupigwa risasi kweupe eti imekuwa gumzo, wangapi wameuawa mchana kweupe na wala hawajapiga kelele juu ya jambo hilo?? Lissu ndo ana value kuliko roho za waliouliwa kibiti?? Ngoja mda uende itajulikana wahusika na watu hawataamini.
Mkanda wa jeshi unatibika kwa wataalamu wa afya na hata wataalamu wa mitishamba,pole jaribu kuwaona madaktari hasa muhimbili au kcmc dogo atapona tu mama
Mmmh watanzania bhana ni watu wa kulaumu tu kila jambo, utaskia walikuwa wapiii walikuwa wapiiii sjuiii niniii daaa
Ndivyo tulivyo,Allah atusaidie sana
Mkuu usemalo ni kweli, lkn kwann mawazo haya yasingeelekezwa kwa waliokufa kibiti?? Kumbuka lissu wetu yuko hai, mbona albadr hazikusomwa kwa wa kibiti? Lisu ana nn? Tuwe kitu kimoja na tukatae kutendewa baya na tupinge bila kujalisha amefanyiwa hivi wa chama flani,tuwe one unit ndio hata Allah...
Watu kama wewe huwa napata amani sana napo ona pist zenu na huwa najiuliza kumbe watu walio na mawazo mazuri mpo,asante kaka
Watanzania wasiliingize suara hili kisiasa, not to political gain,kama watalipeleka kisiasa basi watu wategemee majibu ya kisiasa kutoka gvt otherwise watu wakae kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.