mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,121
Sijamtisha ila comment yake nafkiri umeisoma. Hua sipendi sana sarcasm ninapokua off mood
sawa mkuu
Sijamtisha ila comment yake nafkiri umeisoma. Hua sipendi sana sarcasm ninapokua off mood
Mtukufu???? Dah watu mna PhD ya kujipendekeza hadi mnakufuruHuyu mwanamke katika watu wanaonikera duniani nafkiri yeye ni namba moja. Some potray her as a hero, but she ain't no hero. She is just a coward hiding behind her keyboard. Kwa mtanzania mzalendo na mwenye mapenzi mema na nchi huwezi kumtukana hadharani amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi TANZANIA hadharani tena bila woga wowote. Sawa, anaweza akawa anafanya kazi nzuri ya kufichua maovu mbalimbali katik jamii lakini hii ya kumtukana mtukufu rais sasa ni kuvuka mipaka. Pumb.vu sana huyu mwanamke,sijui niongee nini kuonesha machungu na masikitiko yangu baada ya Mh.Rais kutukanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kuna wakati huwa najiuliza hivi watu wa usalama wa Nchi yetu wana mipaka? Kwanini huyu Mwanamke aendelee kuwepo?Huyu mwanamke katika watu wanaonikera duniani nafkiri yeye ni namba moja. Some potray her as a hero, but she ain't no hero. She is just a coward hiding behind her keyboard. Kwa mtanzania mzalendo na mwenye mapenzi mema na nchi huwezi kumtukana hadharani amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi TANZANIA hadharani tena bila woga wowote. Sawa, anaweza akawa anafanya kazi nzuri ya kufichua maovu mbalimbali katik jamii lakini hii ya kumtukana mtukufu rais sasa ni kuvuka mipaka. Pumb.vu sana huyu mwanamke,sijui niongee nini kuonesha machungu na masikitiko yangu baada ya Mh.Rais kutukanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka na yeye apigwe risasi 28 kisa kumtukana Pombe Yohane? C'mon.Kwanini huyu Mwanamke aendelee kuwepo?hii ni dhihaka kwa Nchi yetu.
Kissu cha ngariba, najua ww ni mtu makini ila kwa hili la mange anavyotukana kule kidogo nimekushangaa mkuu kama unafrahia.Mbona nyie mnatumia bunduki? Badala ya kujibishana hoja kwa hoja?
Ulitaka "huyu mwanamke " asiwepo?Uko sahihi kuna wakati huwa najiuliza hivi watu wa usalama wa Nchi yetu wana mipaka? Kwanini huyu Mwanamke aendelee kuwepo?
hii ni dhihaka kwa kwa Nchi yetu na Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi na yeye hamna mpango naye?Huyu mwanamke katika watu wanaonikera duniani nafkiri yeye ni namba moja. Some potray her as a hero, but she ain't no hero. She is just a coward hiding behind her keyboard. Kwa mtanzania mzalendo na mwenye mapenzi mema na nchi huwezi kumtukana hadharani amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi TANZANIA hadharani tena bila woga wowote. Sawa, anaweza akawa anafanya kazi nzuri ya kufichua maovu mbalimbali katik jamii lakini hii ya kumtukana mtukufu rais sasa ni kuvuka mipaka. Pumb.vu sana huyu mwanamke,sijui niongee nini kuonesha machungu na masikitiko yangu baada ya Mh.Rais kutukanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kissu cha ngariba, najua ww ni mtu makini ila kwa hili la mange anavyotukana kule kidogo nimekushangaa mkuu kama unafrahia.
geluka
Na bado wewe ni FOLLOWER wake!Huyu mwanamke katika watu wanaonikera duniani nafkiri yeye ni namba moja. Some potray her as a hero, but she ain't no hero. She is just a coward hiding behind her keyboard. Kwa mtanzania mzalendo na mwenye mapenzi mema na nchi huwezi kumtukana hadharani amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi TANZANIA hadharani tena bila woga wowote. Sawa, anaweza akawa anafanya kazi nzuri ya kufichua maovu mbalimbali katik jamii lakini hii ya kumtukana mtukufu rais sasa ni kuvuka mipaka. Pumb.vu sana huyu mwanamke,sijui niongee nini kuonesha machungu na masikitiko yangu baada ya Mh.Rais kutukanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm naona wewe ndio umejificha nyuma ya keyboard mwenzio anatumia jina lake na anajulikana wp yupo lkn wewe unatumia fake ID hapa JF unadhani nani atakujali.Huyu mwanamke katika watu wanaonikera duniani nafkiri yeye ni namba moja. Some potray her as a hero, but she ain't no hero. She is just a coward hiding behind her keyboard. Kwa mtanzania mzalendo na mwenye mapenzi mema na nchi huwezi kumtukana hadharani amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi TANZANIA hadharani tena bila woga wowote. Sawa, anaweza akawa anafanya kazi nzuri ya kufichua maovu mbalimbali katik jamii lakini hii ya kumtukana mtukufu rais sasa ni kuvuka mipaka. Pumb.vu sana huyu mwanamke,sijui niongee nini kuonesha machungu na masikitiko yangu baada ya Mh.Rais kutukanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ukisha kuwa na akili iliyo limited unaweza dhani ata Mungu anaweza chimbwa biti, kwa akili yako unahisi Tanzania inaishi nje dunia, kwamba hao TCRA ndiyo wanaamua dunia ifanye nini?? Binadamu amezaliwa akiwa huru hizi tawala za kipilato ni ujinga wa mazuzu fulani, jifikirishe kidogo yamkini wenda rais anatukanwa lakini kwa nini atukanwe yeye asitukanwe ata shekhe au Askofu kwanini mwenyewe ajiulizi inawezaje atukanwe???Watanzania kupitia mitandao tofauti wanafurahia matusi ya Mange tena matusi mabaya sana dhidi ya Rais Dr Magufuli na TCRA mpo mnaangalia tu.
Kwanini tusijibishane HOJA kwa HOJA?
Kwanini tujibishane HOJA kwa MATUSI
TCRA kwanini Rais atukanwe na wanainchi wa support na nyie mpo tu?
Kazi ya TCRA ni nini?
Sheria ya cyber crime ni ya nini?
Kwanini watanzania wanafurahia hali hiyo?
At least I'm not a slave in my own countryMm naona wewe ndio umejificha nyuma ya keyboard mwenzio anatumia jina lake na anajulikana wp yupo lkn wewe unatumia fake ID hapa JF unadhani nani atakujali.
Sent using Jamii Forums mobile app
At least I'm not a slave in my own countryMm naona wewe ndio umejificha nyuma ya keyboard mwenzio anatumia jina lake na anajulikana wp yupo lkn wewe unatumia fake ID hapa JF unadhani nani atakujali.
Sent using Jamii Forums mobile app