Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Arsene Wenger anazingua
Kwamba utapata chakula kwa bei nzuri kama barabara ni mbovu?hivyo vitu vya kutengenezea malazi mfano nyumba vitafika sehem husika bila barabara?Hiyo elimu ktk kuhakikisha usimamizi mzur je maafisa watafika eneo husika na kwa wakati bila barabara?unaitoaje barabara ktk maendeleo?
Ha ha! Siasa wakati hadi Ndugai povu lilimtoka hatari!???Hizo siasa za Bungeni kijana. Usichukulie kila kitu serious
Na kutuibia sisi huku,ndo mada kuu ya wazunguHuko un kuna siku walijadili matatizo ya jimboni kwako au ni kujipendekeza tu kwa wazungu? Wazungu hawana shida ya maendeleo kwenye nchi zao ndio mana wanna muda mchafu wa kwenda kujadiliana namna ya kuongezea vikwazo Pyongyang.
Bila sio biraMkuu chakula kitapitiavwapi bira barabara
Bombadier mbili zililetwa na CCM....moja imezuiwa na TUNDU LISSU (Chadema)Nachukizwa na kauli hizi za kibaguzi na wakati huohuo anasema maendeleo hayana vyama.
Kwanini anapenda kusema kitu flani kimejengwa na ccm badala ya kodi za wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama ikiwemo hata wasio raia wa nchi hii?
Anasema maendeleo hayana vyama mbona anatanguliza sana uccm kwa kila kitu? Huu si ubaguzi wa wazi?
Tushike lipi kama kila kitu kimejengwa na ccm basi vyama vingine visitozwe kodi ijulikane moja kuwa ni wanaccm sio wananchi wote?
Acha kuwa na akili finyu, hivi ulishamuona Queen Elizabeth huko un au ni uzezeta tu? Lini huko un walishapitisha bajeti kutatua kero za maji jimboni kwako?Kweli hili taifa limeoza..viongozi wenzie wote wako UN kujadili mambo ya maana lenyewe liko Sijui Simanjiro...yaani these 5 yrs is a waste to this nation
Habari waungwana,
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameshatua uwanja wa ndege wa Kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mama Anna Elisha Mngwira. Muda mchache ujao anatarajiwa kuzindua barabara ya KIA mpaka Mererani.
Fuatana nami kujua yanayojiri..
====
Magufuli: Adui yetu mkubwa ni maendeleo sio vyama, ninawashukuru sana kwa kura, nina uhakika hata Malya alinipa, nawashukuru sana wizara ya ujenzi na uchukuzi, TANROADS, wakandarasi na consultants ambao wamefanikiwa kumaliza hii barabara hii ya KM 26 kwa gharama ya bilioni 32.5 na fedha zote zimetokana na kodi za watanzania, nawapongeza sana watanzania wanaolipa kodi.
Barabara ambazo tumeamua kutengeneza zipo yingi, tumeanza na Km 26 lakini haiwezi kuishia hapa kabla haijafika makao makuu ya wilaya na Mkoa.
Nawapongeza sana kwa kumchagua Milya, amelelewa na CCM. Nchi hii ni tajiri na historia inazungumza wazi, tukapewa madini ambayo hayapo pengine kokote duniani, tujiulize haya madini yanatusaidia? Mungu ametupa madini lakini tunapata shida ndio maana nimefika hapa ila mtu analilia shida, Tanzanite tunayo lakini tunaitumiaje? Tulimkosea nini Mungu? Hilo ndio somo langu la leo.
Tanzania matatizo yetu sio vyama, matatizo yetu ni kwanini tunaibiwa? Wangepewa nchi nyingine, hapa pangekuwa kama Ulaya. Ripoi ya Tanzanite iliyoundwa na Spika, Tanzania haiwanufaishi hata wananchi wa hapa, pia haiwanufaishi watanazania. Tanzania inapata asilimia tano, ndio maana nasema nasema tuna changamoto.
Katika uongozi wangu nimeamua kuongoza hii vita, naomba tusimame pamoja kushinda hii vita. Tanzanite ina eneo la kilometa za mraba 81.99, kuna block zimegawanywa. Tanzanite zinaibiwa sana, ni shamba la bibi, nafikiri mabibi waliokufa miaka mingi sana.
Kuna wawekezaji ambao wana asilimia 50 lakini mali zinasombwa. Nimeamua lile eneo ili tuzuie wizi, block A mpaka D, naagiza JWTZ waanze kulijenga ukuta eneo lote, kazi ifanyike haraka. Wakimaliza wake fence na kamera, kutakuwa na mlango mmoja. Hata kama utameza Tanzanite itaonekana.
Serikali ipate pesa yake na mchimbaji apate pesa yake, tunataka soko la Tanzanite liwe hapa Simanjiro na wala sio Arusha. Wanunuzi wote waje kununua hapa Simanjiro, barabara ni lami.
Nimeona tuanze na hii hatua, nina hakika watu wa Tanzanite one na wengine watakaa na kutengeza mkataba wenye faida kwa serikali. Ni lazima tujipange vizuri, hili suala naona sasa linafika mwisho wake.
Biashara haijazuiliwa lakini tunaitoa kwenye biashara ya magendo kuwa biashara halali. Ukishapata mali yako ndani ya uzio, peleka kwenye duka lolote na wateja watakufata hapo hapo. Biashara hii unaondoka umeficha na unapeleka anakulalia kwa sababu anajua huwezi kuipeleka popote.
Benki kuu pia watengeze mkakati wa kushiriki katika kununua zawadi. Tuna madini kila maali lakini majamaa wamekuwa wakisomba tu, tunaendelea kubaki maskini.
Nafahamu katika hatua mlizoanza kuchukua, kuna wengine wamekimbia na hamtawaona kwa sababu ya waliochokuwa wanafanya.
Malya sio adui yetu, adui yetu ni yule anae tuibia. Barabara imejengwa na CCM lakini watapita watanzania wote, tunagombania nini? Wanasema kitunze kidumu, naomba mtunze hii barabara. Kuhusu suala la maji naomba mniachie, kuna mradi mkubwa wa bilioni 45 kwenda makao makuu ya wilaya, eneo hili ambalo halina vyanzo vya maji naomba mniachie.
Adui yetu anajulikana kuanzia kupata uhuru hadi leo.Kuna baadhi ya watanzania ni kama akili zimeoza, Rais JPM kaongea mambo ya msingi ikiwemo ujenzi wa ukuta pale mererani ila, wenyewe wamekazana na vijembe na maneno ya shombo kwa Rais.
Watu wanashindwa kujadili ni namna gani kutakuwa na fursa baada ya ujenzi wa ule ukuta pale mererani na ni kwa namna serikali itaongeza mapato pale ila mijitu imejaa majungu na fitina kwa Rais kama michawi.
Nafikiri adui mkubwa wa maendeleo hii inchi ni wananchi wenyewe kutojitambua. Mana haiwezekani Rais JPM kaongea mambo ya msingi watu wanaanza kupotosha na kukashifu kama wametumwa na shetani kuvuruga nchi.
Hivi mimi niwaulize wote wanaomkashifu Rais JPM tatizo lao hasa minini?
Hyo kodi ya kujengea nani aliikusanya na kuiweka ktk miradi ya barabara, tatzo sie ndivyo tulivyo hatutabadilikaBarabara imejengwa kwa kodi za wanatanzania wanaolipa kodi true barabara zimejengwa na wana CCM False hapo Mzee alikuwa anapiga siasa tu ya Kazi yake lakini anajua ni uongo!!
Anagalia ulivyo uharo..malkia sio kiongozi wa serikali huko UK..ndio maana Teresa May yuko UN..mambo kama hujui kaa jikoni wasaidia dada zako kumenya mbaazi pimbi weweAcha kuwa na akili finyu kama za funza, hivi ulishamuona Queen Elizabeth huko un au ni uzezeta tu? Lini huko un walishapitisha bajeti kutatua kero za maji jimboni kwako?
Tanzanite is more than foodMerelani wanalima nini?
Kivipi haijatokea kwani Mahiga hatoshi kumwakilisha? Hivi mnadhani hawa watu wanasumbuka na marais wa Afrika?Daahh!!
Inasikitisha sana, hasara hii haijawahi kutokea.
Tunakoelekea Mungu ndie anajua peke yake
Yaani sijui hata umeishia darasala ngapi..hujui hata majukumu ya UN..miaka 50 ya uhuru unajiona fahari kuongelea matatizo ya maji..Acha kuwa na akili finyu kama za funza, hivi ulishamuona Queen Elizabeth huko un au ni uzezeta tu? Lini huko un walishapitisha bajeti kutatua kero za maji jimboni kwako?
Kashatoa tayariTunasubiri tamko la leo maana nchi inaendeshwa kwa matamko