Adjoub Adjoub
Member
- Sep 11, 2017
- 83
- 48
Vijana mna kazi kweli. Kila siku mnaandika kuhusu upinzani lakini maandiko yenu ni ya ajabu ajabu tu. Hayana mambo ya msingi zaidi ya kuushambulia upinzani kwa hoja nyepesi. Ama kweli...
Mwambie bashite alete VYETI ache kurukarukaToka chaguzi za Kenya zimeanza, CHADEMA kupitia mjumbe wake wa kamati kuu, wazi wazi aliamua kumuunga mkono mgombea mmoja wa tiketi ya Urais.
Baada ya hilo likaja hili la lisu, yupo kenya na kila mtu anayehusiana na CHADEMA nikimaanisha ile safu yote ya juu ya uongozi ipo Kenya.
Tumeona pia mahojiano ya wabunge wanaotokana na chama hicho na vyombo vya habari vya Kenya wakizungumzia hali ya kisiasa hapa nyumbani.
Ghafla wana CHADEMA wameamua kuisifia kenya kwa kila jambo na kujihusisha nayo kwa kila hali.
Sasa ningependa tu kujua, mwisho wa siku CHADEMA inalenga kitu gani kwa kujihusisha na hawa majirani wetu kwa kila jambo linalowahusu.
Nyie mnavyojinasibu na Rwanda na Uganda mnapata faida gani?Toka chaguzi za Kenya zimeanza, CHADEMA kupitia mjumbe wake wa kamati kuu, wazi wazi aliamua kumuunga mkono mgombea mmoja wa tiketi ya Urais.
Baada ya hilo likaja hili la lisu, yupo kenya na kila mtu anayehusiana na CHADEMA nikimaanisha ile safu yote ya juu ya uongozi ipo Kenya.
Tumeona pia mahojiano ya wabunge wanaotokana na chama hicho na vyombo vya habari vya Kenya wakizungumzia hali ya kisiasa hapa nyumbani.
Ghafla wana CHADEMA wameamua kuisifia kenya kwa kila jambo na kujihusisha nayo kwa kila hali.
Sasa ningependa tu kujua, mwisho wa siku CHADEMA inalenga kitu gani kwa kujihusisha na hawa majirani wetu kwa kila jambo linalowahusu.
CCM ni kama chanjo ya UkimwiWanajihusisha pia na govinda Raila
Mkuu usemalo ni kweli, lkn kwann mawazo haya yasingeelekezwa kwa waliokufa kibiti?? Kumbuka lissu wetu yuko hai, mbona albadr hazikusomwa kwa wa kibiti? Lisu ana nn? Tuwe kitu kimoja na tukatae kutendewa baya na tupinge bila kujalisha amefanyiwa hivi wa chama flani,tuwe one unit ndio hata Allah ataweka mikono yakeHicho wanachokifanyia cdm Kenya kimesababishwa na siasa za mabavu za awamu hii ya 5. Siku zote utakapombana mtu bila sababu na ukatumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani wako ni dhahiri wataanzia mashambulizi kutoka nje. Na ikifika hapo ujue nchi itaingia matatizoni. Ndio maana tunawaambia wanaccm mkanyeni huyo mwenyekiti wenu anaharibu nchi nyie mnasifia ananyoosha.
JK mbali na mapungufu yake kwani naye alikuwa anawahujumu wapinzani kwa kutumia vyombo vya dola lakini alikuwa akiambiwa ukweli anakubali hata kama sio hadharani. Viongozi wa cdm wako Kenya kwa sababu ya shambulio la Lisu, ila wangesemea hayo wanayosema wakiwa hapa wangekutana na mkono wa dola. Tunaomba Kenyata ashinde na asiwe na mahusiano mazuri na magu ili wapinzani wapate mahali pa kupumulia. Ikibidi hata ugomvi ni sawa ili kama ni kukosa tukose wote kuliko kuoneana hapa kwetu. Kwa kumpiga Lissu risasi ni dhahiri mmevuka mipaka ya kisiasa mnageuka kuwa wanyama.
Propesa Lip mlimpeleka Rwanda ili kuja kuivuruga CUF.kwahiyo hata wakishika madaraka rimoti itakua ipo nairobi?
Toka chaguzi za Kenya zimeanza, CHADEMA kupitia mjumbe wake wa kamati kuu, wazi wazi aliamua kumuunga mkono mgombea mmoja wa tiketi ya Urais.
Baada ya hilo likaja hili la lisu, yupo kenya na kila mtu anayehusiana na CHADEMA nikimaanisha ile safu yote ya juu ya uongozi ipo Kenya.
Tumeona pia mahojiano ya wabunge wanaotokana na chama hicho na vyombo vya habari vya Kenya wakizungumzia hali ya kisiasa hapa nyumbani.
Ghafla wana CHADEMA wameamua kuisifia kenya kwa kila jambo na kujihusisha nayo kwa kila hali.
Sasa ningependa tu kujua, mwisho wa siku CHADEMA inalenga kitu gani kwa kujihusisha na hawa majirani wetu kwa kila jambo linalowahusu.
kwani baba kujihusisha sana na Rwanda anatusaidia nini Tanzania na ccmToka chaguzi za Kenya zimeanza, CHADEMA kupitia mjumbe wake wa kamati kuu, wazi wazi aliamua kumuunga mkono mgombea mmoja wa tiketi ya Urais.
Baada ya hilo likaja hili la lisu, yupo kenya na kila mtu anayehusiana na CHADEMA nikimaanisha ile safu yote ya juu ya uongozi ipo Kenya.
Tumeona pia mahojiano ya wabunge wanaotokana na chama hicho na vyombo vya habari vya Kenya wakizungumzia hali ya kisiasa hapa nyumbani.
Ghafla wana CHADEMA wameamua kuisifia kenya kwa kila jambo na kujihusisha nayo kwa kila hali.
Sasa ningependa tu kujua, mwisho wa siku CHADEMA inalenga kitu gani kwa kujihusisha na hawa majirani wetu kwa kila jambo linalowahusu.
Hicho wanachokifanyia cdm Kenya kimesababishwa na siasa za mabavu za awamu hii ya 5. Siku zote utakapombana mtu bila sababu na ukatumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani wako ni dhahiri wataanzia mashambulizi kutoka nje. Na ikifika hapo ujue nchi itaingia matatizoni. Ndio maana tunawaambia wanaccm mkanyeni huyo mwenyekiti wenu anaharibu nchi nyie mnasifia ananyoosha.
JK mbali na mapungufu yake kwani naye alikuwa anawahujumu wapinzani kwa kutumia vyombo vya dola lakini alikuwa akiambiwa ukweli anakubali hata kama sio hadharani. Viongozi wa cdm wako Kenya kwa sababu ya shambulio la Lisu, ila wangesemea hayo wanayosema wakiwa hapa wangekutana na mkono wa dola. Tunaomba Kenyata ashinde na asiwe na mahusiano mazuri na magu ili wapinzani wapate mahali pa kupumulia. Ikibidi hata ugomvi ni sawa ili kama ni kukosa tukose wote kuliko kuoneana hapa kwetu. Kwa kumpiga Lissu risasi ni dhahiri mmevuka mipaka ya kisiasa mnageuka kuwa wanyama.
sizonje analenga nini kujihusisha na Rwanda?mwisho wa siku CHADEMA inalenga kitu gani kwa kujihusisha na hawa majirani wetu kwa kila jambo linalowahusu.
yaani kama hujui lisu ana nini wewe ni bonge la bogusLisu ana nn?
Mkuu usemalo ni kweli, lkn kwann mawazo haya yasingeelekezwa kwa waliokufa kibiti?? Kumbuka lissu wetu yuko hai, mbona albadr hazikusomwa kwa wa kibiti? Lisu ana nn? Tuwe kitu kimoja na tukatae kutendewa baya na tupinge bila kujalisha amefanyiwa hivi wa chama flani,tuwe one unit ndio hata Allah ataweka mikono yake
Mashaka ya kumuelewa nani?Hapa ndo nimepata mashaka kuwaelewa ila sawa acha tuone