Recent content by Butainamwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jarida la Tafakuri ya Taifa

    Umeongea vema, kiukweli uku mitaani kila mtu kaishachoka ni vile hawana pa kusemea ila ukiongea na watu na wana uhakika wako salama na maongezi yao wanatoa ya moyoni sana na wakati huo wamevaa na zile picha za kupigia mwingi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msingi Namba 1 Kwa Yeyote Anayeanza Kuwekeza Kwenye Ardhi Au Majengo

    Shukrani sana mkuu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto Kuu 2 za Majengo ya Kupangisha hapa Tanzania

    Safi sana mkuu, una madini konki
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Aise , ..uko na ushauri mzuri, Kwa mtu ambaye amekuwa akideal na izi issue za watoto tunakuelewa sana sana!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni uongo upi usio na mantiki umewahi kutana nao kwenye Bongo Movie?

    🤣🤣🤣
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Kwa apa ndugu umeongeza tatizo, watu hushauri kutokana na experience zao au utani utani tu ila wewe unazidi kuumia ...kaa na mkeo chini mlijadili uone kama ana mwelekeo wa kubadilika, mpe msimamo Yako ukiwa very serious, na unamwambia hii ni last chance akirudia ajue ndo mwisho wa mahusiano yenu.
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

    Kiru!
Back
Top Bottom