Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada...
Kuna wafanyakazi wa Dawasa wanajihusisha na kufungia watu maii kwa njia ya wizi? Mitaa ya huku airport karakata, kuna mama anapita kukusanya majina ya watu wanaotaka maji na baadae huchukua hela na kumleta fundi wa dawassa kuunganisha maji.
Mapungufu.
1.pomba ni la kuungaunga
2.mita inakaa...
Kuna rushwa NSSF. Wastaafu na waliopoteza ajira hawapati mafao yao kwa wakati, wengi wao wanaombwa rushwa eti ndiyo malipo yao yapatikane mapema.
Hebu vyombo via habari, polisi na Takukuru fuatilieni hili mkasikilize malalamiko wa wananchi wanaofuatilizia mafao yao pale NSSF, kuna watu hawana...
mikoa ya nchi hii ni mingi mno, mheshimiwa atatembelea lini mikoa mingine??, kila siku simiyu, chato, mwanza!!!, huko sumbawanga, mtwara,katavi, mbeya,iringa ataenda lini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.