Rais Magufuli, Uwaziri wa Fedha umeteuliwa na nani?

Pia ametoa ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa hapo Bariadi kuwavutia watalii,

Bado sijajua Bariadi kuna vivutio gani vya utalii.
 
Nakumbuka ata ahadi aliahidi yeye ndo anatekeleza hivyo amegundu mawaziri ni mizigo na watamwangusha kwenye utekelezaji akaona bora apambane kutimiza ahadi zake kwa mikono yake
 
Sio kila atakachoambiwa akubali lazima aangalie value for money... Mh.Rais anawakilisha kila idara, anaweza kua Waziri ,Mkurugenzi na Mtawala at the same time. [HASHTAG]#Hapa[/HASHTAG] Kazi Tu! Chamsingi mambo yaende ndo tunachotaka
 
Imekuwa kawaida,kwenye hotuba zako,kusema kuwa utatoa fedha kwa ajili ya jambo fulani. Leo,kule Bariadi mkoani Simiyu,umeahidi kutoa fedha kwa ajili ya kumaliziwa kipande cha barabara. Ukasema tender iwe wiki ijayo.

Kule Bariadi,alikuwapo Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa aliyeishia kupiga makofi tu ya kupokea agizo. Ahadi zako za kutoa fedha kwa mradi fulani hazikuanza Simiyu leo. Imeshakuwa mazoea.

Sisi watanzania tunajua kuwa Dr. John Pombe Magufuli ni Rais wetu. Amechaguliwa hivyo. Tunajua kuwa kuna Wizara tofauti zenye bajeti zake na majukumu yake. Bajeti hupitishwa kila mwaka. Tunajua kuwa Waziri wa Fedha ni Dr. Phillip Mpango

Mhe. Rais,nani kakuteua kuwa Waziri wa Fedha? Pesa unazoahidi na kuzitoa kwa mradi fulani,huwa unazitoa wapi? Leo sigusii hotuba ya Bariadi kwakuwa ilikuwa ni kwa ajili ya 'kutambia' uwanja wa nyumbani

Mwafaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Rais ana fungu lake la Maendeleo km walivyo viongozi wengine wa kisiasa mfano DC Rc na Wabunge. Jibu raihisi anatoa ktk mfuko wake wa Maendeleo. Ukae ukijua mh Rais anaofisi yake binafsi na anatengewa mabilioni ya fedha Kwahiyo ni Matakwa yake azitumiaje Dr JPM pengine yeye Ameamua kuzielekeza kwenye miundombinu
 
Wapiga dili mtaelewa tu mwaka huu, namuona.Gadafi nchini kwetu sasa. Kuna ugumu gani wa tender kutangazwa wiki ijayo?
 
Imekuwa kawaida,kwenye hotuba zako,kusema kuwa utatoa fedha kwa ajili ya jambo fulani. Leo,kule Bariadi mkoani Simiyu,umeahidi kutoa fedha kwa ajili ya kumaliziwa kipande cha barabara. Ukasema tender iwe wiki ijayo.

Kule Bariadi,alikuwapo Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa aliyeishia kupiga makofi tu ya kupokea agizo. Ahadi zako za kutoa fedha kwa mradi fulani hazikuanza Simiyu leo. Imeshakuwa mazoea.

Sisi watanzania tunajua kuwa Dr. John Pombe Magufuli ni Rais wetu. Amechaguliwa hivyo. Tunajua kuwa kuna Wizara tofauti zenye bajeti zake na majukumu yake. Bajeti hupitishwa kila mwaka. Tunajua kuwa Waziri wa Fedha ni Dr. Phillip Mpango

Mhe. Rais,nani kakuteua kuwa Waziri wa Fedha? Pesa unazoahidi na kuzitoa kwa mradi fulani,huwa unazitoa wapi? Leo sigusii hotuba ya Bariadi kwakuwa ilikuwa ni kwa ajili ya 'kutambia' uwanja wa nyumbani

Mwafaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Unapokuwa na kiongozi mmoja wa mhimili anayeamini kuwa mhimili wake umeenda chini zaidi ni hatari sana kwa mihimili miwili iliyobaki.

Kwa maana kwamba hiyo mihimili ya iliyobaki anaweza kuipeleka anavyotaka yeye maana wa kwake ndio ulioenda chini..

Nashangaa baada ya kusema hili watu hawakulitilia maanani sijui hawakujua ukubwa wake??
 
Bunge la Katiba lilitumia Mabillion na hazikupitishwa na Bunge na Wapinzani walishiriki kuzinywa Kama Posho hizi zinaenda kusaidia Wanyonge na Maskini wa Nchi hii mnaanza Gubu! Amgesema anavipa Vyama vya Upinzani kujiimarisha mngejaribu kuhoji?
Kwahiyo serikali iliyopita ilikuwa ya cuf na sio ya ccm Lumumba bwana mnafurahisha
 
Mm mshahara wangu wakima cha chini siwezi kuzipanda hizo ndege mpaka nakufa
Tulieni basi zijengwe. Acheni kulilia ukiritimba. Seriously mtakosa pa kudeki.
Ndege mpya za Atc zinajaa siku hizi na demand iko juu sana. Kwa kuendekeza ukiritimba saa hizi bado tungekuwa kwenye "Upembuzi yakinifu".
S
 
Bunge la Katiba lilitumia Mabillion na hazikupitishwa na Bunge na Wapinzani walishiriki kuzinywa Kama Posho hizi zinaenda kusaidia Wanyonge na Maskini wa Nchi hii mnaanza Gubu! Amgesema anavipa Vyama vya Upinzani kujiimarisha mngejaribu kuhoji?
mikoa ya nchi hii ni mingi mno, mheshimiwa atatembelea lini mikoa mingine??, kila siku simiyu, chato, mwanza!!!, huko sumbawanga, mtwara,katavi, mbeya,iringa ataenda lini?
 
Imekuwa kawaida,kwenye hotuba zako,kusema kuwa utatoa fedha kwa ajili ya jambo fulani. Leo,kule Bariadi mkoani Simiyu,umeahidi kutoa fedha kwa ajili ya kumaliziwa kipande cha barabara. Ukasema tender iwe wiki ijayo.

Kule Bariadi,alikuwapo Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa aliyeishia kupiga makofi tu ya kupokea agizo. Ahadi zako za kutoa fedha kwa mradi fulani hazikuanza Simiyu leo. Imeshakuwa mazoea.

Sisi watanzania tunajua kuwa Dr. John Pombe Magufuli ni Rais wetu. Amechaguliwa hivyo. Tunajua kuwa kuna Wizara tofauti zenye bajeti zake na majukumu yake. Bajeti hupitishwa kila mwaka. Tunajua kuwa Waziri wa Fedha ni Dr. Phillip Mpango

Mhe. Rais,nani kakuteua kuwa Waziri wa Fedha? Pesa unazoahidi na kuzitoa kwa mradi fulani,huwa unazitoa wapi? Leo sigusii hotuba ya Bariadi kwakuwa ilikuwa ni kwa ajili ya 'kutambia' uwanja wa nyumbani

Mwafaaa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Sisi tunataka matokeo tu, mambo ya Bajeti sijui upuuzi gani peleka chadema!
 
Nilichojifunza kwenye huu utawala wengi sana wanaumia ndani kwa ndani yaani siku wakipaza sauti naamini kutakuwa Na mabadiliko
 
Mm mshahara wangu wakima cha chini siwezi kuzipanda hizo ndege mpaka nakufa

S
Wenzako wanapanda na zinajaa kwa maslahi yao aidha kibiashara au leisure. Sasa ulitaka zisiwepo kwasababu Ndungulila fulani hazimudu??
 
Back
Top Bottom