Kuna nini NSSF? Mafao hayatolewi kwa wakati

Apr 7, 2016
5
3
Kuna rushwa NSSF. Wastaafu na waliopoteza ajira hawapati mafao yao kwa wakati, wengi wao wanaombwa rushwa eti ndiyo malipo yao yapatikane mapema.

Hebu vyombo via habari, polisi na Takukuru fuatilieni hili mkasikilize malalamiko wa wananchi wanaofuatilizia mafao yao pale NSSF, kuna watu hawana ajira kwa miaka zaidi ya miwili, madai yao ni milioni 1 tu, lakini mpaka kesho hakuna mafao.

Hebu saidieni haki za watu zipatikane.
 
Kuna rushwa NSSF, wastaafu na waliopoteza ajira hawapati mafao yao kwa wakati, wengi wao wanaombwa rushwa eti ndiyo malipo yao yapatilane mapema,hebu vyombo via habari, polisi na takukuru fuatilieni hili mkasikilize malalamiko wa wananchi wanaofuatilizia mafao yao pale NSSF, kuna watu hapana ajira kwa miaka zaidi ya miwili, madai yao ni mil 1 tu, lkn mpk kesho hakuna mafao. Hebu saidieni haki za watu zipatikane.
Iv watu kumbe bado wanapata hela zao.... Mimi nlijua fao la kujitoa halipo Tena nna ela zangu etiii
 
Kuna rushwa NSSF. Wastaafu na waliopoteza ajira hawapati mafao yao kwa wakati, wengi wao wanaombwa rushwa eti ndiyo malipo yao yapatikane mapema.

Hebu vyombo via habari, polisi na Takukuru fuatilieni hili mkasikilize malalamiko wa wananchi wanaofuatilizia mafao yao pale NSSF, kuna watu hawana ajira kwa miaka zaidi ya miwili, madai yao ni milioni 1 tu, lakini mpaka kesho hakuna mafao.

Hebu saidieni haki za watu zipatikane.
NSSF ina ukata wa fedha baada ya kufujwa na kukopwa. Wazee wastaafu wanahangaika kila mwezi kwani hawajui tarehe ya kulipwa pensheni zao ambazo hutolewa baada ya kukusanya toka kwa waajiri na waajiriwa baada ya kulipwa mishahara.
 
Back
Top Bottom