Recent content by busura zaidi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya mpenzi wako asijue kama una mchepuko mwingine

    Kumjua Mungu kunasaidia sana sio kwa mateso hayo khaàaaa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Happy Sabath JF

    Yeah, happy Sabbath too my members
  3. B

    JamiiForums Tanzania Pishi la Keki ya Chocolate

    Asante mpendwa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Majibu na kauli za mke wangu yamenichosha

    Yeah its true
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Asante kwa matusi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Nmekupata Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Nahisi hivyo pia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Nmekupata Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Hakuna alichosikia kibaya na ananiamin sana na binafs sipo hivo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Asante kwa ushaur mzur Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Naomba usinitukane cjasema nakimbilia nje nmesema naanza pata mawazo ya kutafuta MTU,na pia hapa naomba ushaur sio mtakachosema lazima nifanye Mimi sio mjinga kuna kupata mawazo yenu, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Sina nia ya kuchepuka lkn najikuta nampa mwili wang as if hauna thaman kwake Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu karudi safari, baada ya kukaa miezi 4, amekuwa tofauti kitandani

    Nina ndoa ya miaka 5, nina watoto 2, mume wangu yuko mkoa mwingine kimasomo, namjua vizuri kunako majomboz hakurudi nyumbani kama miezi 3 au 4 hivi kutokana na ubusy wa chuo na pia pesa haikua vizuri aliporudi nikiwa na hamu nae nimejikuta mi ndo nahitaji penzi yeye kama anajifosi yaani kana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kusaidia ukweni ni hiyari, sio lazima

    Km kusaidia ukweni especially kwa mkeo unaona tabu mbona ndugu WA kiume wanatuomba pesa wake zenu km vile walinipa niwatunzie ???au mi ni halal nisaidie kwenu afu we usisaidie kwetu?cha muhimu ni maelewano yenu na tabia zenu ila usije hapa kudai upande WA like wanaomba msada mbona ndugu zenu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Mungu akusaidie unakosa furaha ya moyo kisa una wadada???habar gan kwa wasio na uwezo WA kuzaa?wanaomba Mungu watoto he hao ulionao wakifa utapata furaha ya moyo ???? Ndugu omba rehema Mungu akusamehe ,Huyo mwanamke unamzalisha watoto utakaorizika nao weww kesho unamtukana unamtukana maziwa...
Back
Top Bottom