Recent content by buso

  1. B

    JamiiForums Tanzania ITV linavyochemka chemka!

    Mleta mada uwe unakuwa makini kusikilisha walisema hvi mchakato wa katiba kusitishwa hawakusema BMK kusitishwa maana yake ni Kwamba BMK litaendelea ila upigaji kula umesitishwa mpaka baaada ya Election ya 2015
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

    Jamani me katika yote nilifurahishwa na MC pilipili Jamaa anachekesha balaaaa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Meno Yametoboka - Msaada Please!!

    Nilikuwa siamini hata kidogo Dawa. Za asili na me nilikuwa na tatizo kama lako but me nilikuwa nimeng'oa moja na kuziba 2 but hata niliyoziba yaliendelea kunisumbua kila nikienda Kwa madaktari wa meno option waliyokuwa wanasema ni kung'oa tu but nilinunua Dawa ya asili inaitwa Super Teeth...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za mkataba Halmashauri ya Arusha zikoje?

    Mkataba ni miezi 3 mitatu unaweza kuacha Kwa utaratibu ulianishwa ktk mkataba.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Thanks adata nitazingatia ushauri wako
  6. B

    JamiiForums Tanzania Fastjet Wanatesa na kudharau Abiria

    Hawa Jamaa ndio Tabia zao we unashangaa nini na mnaweza mkaka hata masaa 10 dezo gharama
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi, Halmashauri ya Wilaya Rorya

    Duh Rorya?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena utumishi waita kazini (23/08/2014).

    Mbona hakuna majina?
  9. B

    JamiiForums Tanzania IceBucket Challenge yaonyesha tulivo wajinga...

    Tunawaza ngono tu throughout.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Me Nina tatizo la vipele kichwani nimetumia Dawa Nyingi sana bila mafanikio Kwa hyo kuvifubaza huwa natumia Gentresone tatizo ni takribani miaka sita sasa naomba kama kuna Dawa inaweza nisaidia nijulishwe.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Walter Reed Tanzania, kwa anayeifahamu

    Wapo vizuri si wametupatia landcruisuer Mpya tushughulikie masuala ya ukimwi ila wameifunga GPS
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Sio kweli mtoa mada amedanganya umma.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili niweze kuunganisha simu ya A akipigiwa nami nijue

    Umefanikiwa? Au upo muhimbili tayari
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata maono dr. Slaa kashinda urais 2015

    Me ninaota Lowasa kawa Rais
Back
Top Bottom