aisee nimeipenda hii,,niko njiani kufuata nyayo zako,now najipanga kuwatafuta wadau wenye ujuzi wa miti ili nipate mawili matatu kabla ya kuanza,lakini kabla ya mwaka huu kuisha nitakuwa na la kusimulia kama wewe hapo mkuu...kwakweli mafanikio yapo karibu kuliko tunavyodhani,kama tukiwa na jicho...
aisee nimesoma mwanzo wa hii kitu 2009 mpaka 2013,sasa ni utekelezaji tu,malila lazima nikutafute kuhusu miti na mazao...i wish watanzania tungekuwa na mtazamo wa kijasiliamali zaidi,
We umewai kutafuta hizo line???au unaongea tu?risky katika kutumia line ya mwingine zipo lakini hapa kinachoongelewa ni upatikanaji wake sasa hivi....usione mtu anakuja kuulizia humu mwenye nazo amuuzie yuko tayari kulipia,ukiona hivyo huko unaposema aende kashaenda na kaambulia patupu...kama...
wanasheria naombeni mnisaidie katika hili,kwa mfano bank inamdai mtu,na kama taratibu zote zimefanyika za kumpa mteja barua zote za kumkumbusha alipe,lakini mpaka siku ya kufilisiwa inafika hajalipa,siku ya tukio la kufilisi mteja anakataa kufungua mlango ili assets zake alizoweka...
Truuuuuuueeeee...ni sawa na kufananisha mtu anayekaa kule tandale kwenye nyumba ya mbavu za mbwa(samahani kwa wanaokaa huko nimetoa mfano tu,unaoendana na ukweli) na mtu anayekaa kwenye bangaloo kule mbezi beach,wote wapo kwenye nyumba hizo kutokana na financial posstion zao,na mwenye kibanda...
aisee kama hii kitu sio ujanja ujanja ni bonge la idea..2nahitaji feedbacks kwa walio au watakao agiza magari kupitia huu mpango kwa hawa jamaa....kwasababu kwangu kuweka 7.8mil alaf nkaziona zinapea na upepo kirahisi naweza kuchanganyikiwa,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.