Recent content by busiba

  1. busiba

    Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    Wakati mwingine huwa nawaza,kama ccm wanao ratibu mchakato wa katiba,wakachezea mmchakato tena,haki ya wanannchi kupata viongozi kupitia uchaguzi si ndio basi? Tumeshuhudia kususia kwa chadema mara nyingi,na ccm wakiendelea tu. Tuwafikirie wataanzania kwanza. Tutumie mifano ya Zambia.
  2. busiba

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Mi nafikiri israel nao waolodheshwe ka magaidi. Nafikiri.
  3. busiba

    TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    Hapa nishati pana shida. Tatizo likiibuliwa na wananchi linakanushwa vikali na wanaojifanya kutokuona shida zilizopo. Rejea uhaba wa mafuta,baada ya siku bei ikapanda. Umeme kukosekana,baada ya siku mgao. Hizi nyufa nazo nazipa siku.
  4. busiba

    DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Kumbe na wao wanachukia rushwa, ajabu sana! Atoe tu,akirudi atafidia. Si ndio kawaida.?
  5. busiba

    Ushahidi CHADEMA inatumiwa na TICTS kukwamisha uboreshaji wa bandari

    Kwani hao ticts nao wamepeleka mkataba bungeni?
  6. busiba

    Je, kuna haja ya kuwarudisha tena bungeni hawa wabunge wa Bunge la 12, 2025?

    Hujasikia viongozi wa dini wanasemaje? Wengi hawana hofu ya wananchi,wanajua hata tusipowachagua watakuwa wabunge. Ndio waliopiga makofi. Na zaidi wakamjadiri mtu badala ya kilichokuwa mbele yao. Shida nyingine ni spika,alitaka kila wazo liendane na yeye anavyotaka,na anafikiri ni sawa. Tunashida.
  7. busiba

    Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

    Kila kitu,iwe uwekezaji,ubinafsishaji n.k. Wahusika ni ccm. Kama hasara tunapata ni sababu ya ccm.Hiyo inaeleweka.
  8. busiba

    Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

    Inawezekana kila awamu iliyopita walikuwa wanauza kilicho karibu,na wenda vimeisha,awamu hii wamefikiriii,wakaona bandari inafaa.
  9. busiba

    Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

    Hawa tucta na wanachama wao ni kama wasaliti hivi,ingawa huwa ni toothless, wanakuwa vigeugeu,rejea kauli ya Msonde.
  10. busiba

    Nimefedheheka sana na kuamua kuzima Runinga. Yaani walimu wanatumika kisiasa kumpigia kampeni Rais Samia 2025! Huku wamejaa dhiki

    Inawezekana kuwa ni mawazo ya walimu,ingawa pia watu siku hizi wanalishwa ujumbe. Na zaidi kundi la walimu lilivyo na shida ukiondoa heshima tu kwa rais nafikiri hawangeshiriki kabisa.
  11. busiba

    TBC Taifa sikieni

    Salaamu wakuu, Nina imani TBC ni shirika lenye lengo la kuuhabarisha umma mambo mbalimbali yahusuyo uchumi,siasa na jamii. Ndio, Sasa kwa Nini Hadi Karne hii bado Kuna sehemu TBC hii hii matangazo yake hayafiki baadhi ya maeneo nchi hii? Na Kama yapo yanaweza kukata mwezi na zaidi. Sasa lengo...
  12. busiba

    Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    Unaunga mkono ndio,lakini sio kila kitu,vingine ni mbigili.
Back
Top Bottom