Recent content by bushpat

  1. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

    mie mwenyewe simjui nimekuta watu wanamuulezea mandonga nikauliza kapigana na nan wananijibu awajui ila wanachojua kapigwa na bwana mdogo ila mandonga katawali mitandao yote
  2. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

    hii ya simba
  3. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

    na hii ya simba
  4. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

    hii ya simba
  5. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

    mbona simba nao wameiga jaman
  6. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamasai kupelekwa Tanga mapenzi yalipozaliwa, soon tutaanza kupata unafuu

    Umewaza mbali kama mie
  7. bushpat

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima Simu usiku

    kuna miaka ya nyuma kidogo nilikiwa namiliki kibasi cha abiria simu ikipigwa usiku gari imearibika duu nishatoka na pensi la kulalia nakajikuta niko ubungo hapo ndio nilipoona umuhimu wa kuzima simu usiku napatatizo nayajua asubuhi tu
  8. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watangazaji, Wachambuzi na Waandishi wa Hab mnarudia Kosa lile lile ambao litaigharimu Simba SC ikikutana na Orlando Pirates FC

    ukiona nyuzi zako zinapata wachangia wengi juwa ujumbe umewafikia walengwa ukipondwa jua ujumbe umewafikia pia ukisikifiwa juwa ujumbe umewafikia pia sababu kila mtu na akili yke ya kupembua mambo na kujua unaweza kuchukiwa na ndugu yako na unamsaidia kila kitu sembuse mtu asiekujua
  9. bushpat

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Hahahaha hii sio chai mkuu maana umenifanya nicheke Kwa nguvu
  10. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrithi wa CHAMA huyu hapa

    Kuna comment nyingine unaweza kulia
  11. bushpat

    JamiiForums Tanzania Ukikuta Hili tangazo ujue unaenda kwenye mabeseni mitaani

    Nimecheka kinoma Ndugu yangu umenikumbusha mbali sana kuna dogo aliliona tangazo akaenda akatoa hela ya foma halafu wanataka mzamini pia akapata Hadi wazamini alichokuja kukutana nacho alichoka
  12. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Duuu kaingiaje mo ss haha
  13. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Hii Sura ipo au chai ndugu yangu hahaha
  14. bushpat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nimecheka mpaka watu wameniangalia duuuu
Back
Top Bottom