Wapo ila kwa wengine ni kitendawili apply kuanzia mida ya saa sita usiku kukiwa hakuna watu wengi kwenye mtandao inaweza kukubali maana mimi kuna rafiki yangu kafanya hivyo imekubali.
Baadhi wakipata mitaji wanakuwa wafanyabiashara wakubwa wakati wengine wanaangaika kwenda form six na chuo kikuu kisha wanakuja kutuajiri wakati tutaangaika kuzunguka na bahasha mitaani kutafuta ajira. Maana wanakuwa ni watu wa uthubutu kwa kujua kwamba awana plan B kwa hiyo ni rahisi kwao...
Tatizo la sungura kula watoto linaweza sababisha sungura kupungukiwa na baadhi ya madini mwilini baada ya kuzaa kwa hiyo anakula ili kurudisha madini yaliyopotea mwilini pia ukosefu wa chakula cha kutosha pamoja na maji vinachangia sungura kula watoto.
Pia kama banda alipo vizuri yani linauwazi...
Habarin wanajukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yapata mwezi mmoja na nusu uliopita nilipata ajali ya bodaboda na kuvunjika mguu wa kushoto mara mbili yani mfupa wa nyuma na mbele na daktari niliyeonana baada ya kumuonyesha picha ya mionzi akanishauri ili mguu uweze kukaa sawa ni...
Kwa mtazamo wa haraka ajali zinaweza kusababishwa na mambo mengi ila tukizingatia yafuatayo tunaweza kuepusha ajali :
1 Ubovu wa chombo cha moto
2 Miundombinu mibaya na mibovu eg.mteremko mkali, kona kali na utelezi
3 Chombo chenyewe mfn kufeli kwa breki, kupasuka kwa matairi
4 Kutokuwa na...
Mambo hayo ni tamaduni na mila tu za sehemu fulani lakin kwa upande mwingine mamb hayo yamepitwa na wakati na mtu yoyote yule pia anaweza pewa kama kumbukumbu kutumia vitu vilivyoachwa na marehemu.
Habarini wanajukwaa natumai ni wazima wa afya tele na pia natanguliza shukrani zangu kwenu.
Nimeanzisha mradi wa ufugaji wa sungura ili niweze kukuza kipato na kupambana na changamoto za maisha baada ya kuona ugumu wa maisha kila kukicha kheri ya jana. Hivyo basi niliamua kuanza kufuga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.