Recent content by bushman10

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

    TAFAKARI KUHUSI MRADI WAO WA HIV/AIDS HADI LEO WAAFRIKA WANATESWA KWA KUTOKUJUA UKWELI WA HUO MRADI WA MAREKANI BARANI AFRIKA
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

    WAZUNGU HAWAJAWAHI KUTOA MSAADA USIO NA MREJESHO/FAIDA KWAO. KIUFUPI HAWAJAWAHI KUTUTAKIA MEMA
  3. B

    JamiiForums Tanzania Israel isijidanganye

    Ameeen
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hizbullah: Tumeishambulia Israel mara 961 tangu vilipoanza vita vya Gaza

    Mada Sasa hii hadithi yako inatufundisha nn maana hujaonesha madhara ya kwa nchi ya wana wa YAKOBO? Tunahitaji matokeo ya mashambulizi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mvutano: Ni kwanini Mungu alimruhusu mwanaume kuweza kuwa na mke zaidi ya moja kwenye biblia lakini makanisa yamekataza?

    SHERIA YA MKE MMOJA ILIASISIWA NA WARUMI KWA MAKUSUDI YAO ILA KUOA WAKE WENGI SIO TATIZO ILA KUMILIKI WAKE ZAIDI YA MMOJA NI VERY DIFFICULT HASA KWA SHERIA ZA KIMAGHARIBI ILA KWA WAYAHUDI NA WAARABU NI JAMBO JEPESI
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpime kwa macho hii kitu ni ya ajabu

    Ww una akili nzuri ndg
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kusex na muathrika wa HIV, haya ndiyo majibu baada ya mwezi mmoja

    UMEPEWA SH NGAPI KUJA KITISHA WATU? ETI UKIMWI NI UGONJWA!! FIKIRISHA AKILI NDG KABLA HUJALETA MABANDIKO HAPA. TOFAUTISHA 1 KIRUSI 2 UKIMWI na 3 UGONJWA Usiamini kila asemalo mzungu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Mtoa post huenda Umelewa au unataka Sadaka. Kwanza hujui tofauti ya uzinzi na uasherati. Hivi unajua kwann amri walipewa wana wa Yakobo na sio Waajemi?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    Ww ndio huelewi chochote kuhusu biashara za ulimwengu huu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    Ww ndio huelewi unachonena maana hata huo UKIMWI hujui ni kitu gani. Hadi Sasa unajua UKIMWI ni ugonjwa sasa huoni ww bado una akili mgando? Funguka ubongo wako utaelewa kinachua watu acha kusingizia UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    Tofautisha VIRUSI NA UKIMWI ndg. Hapo hakuna ugonjwa kati ya hivyo viwili. Kuna magonjwa yanayoua mkama TB, KANSA, MALARIA nk. Usiogope ngono kwasababu ya Ukimwi bali jiheshimu na kumweshimu Mungu maana UKIMWI ni miradi ya watu wala sio ugonjwa. Kama sio Trump na Magufuli leo madakitari wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya maambukizi ya UKIMWI inatisha😭

    MLETA MADA TULIA UTUELEZE VIZURI. UKIMWI ULIWAHI KUMUUA NANI? UKINIJIBU NITJUA HUJATUMWA NA WAZUNGU. Ukimwi sio ugonjwa wala Ukimwi hauambukizwi
  13. B

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV kwa bei za store

    Bei Iko juu sana.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Aqqqqqq1qp, even
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    KUNA MWANAMKE ALIKUWEPO KABLA YA EVA!! ALIMSHINDA ADAMU KWA TABIA NDIO MAANA UBAVU ULIYOLEWA ILI ADAMU APATE MWANAMKE NA AMHESHIMU MAANA AMETOKA UBAVUNI MWAKE. YUKO MWANAMKE KABLA YA HAWA/EVA NA ALIMTESA SANA ADAMU WAKASHINDWANA
Back
Top Bottom