Recent content by Bushar

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mishahara juu, kupanda Julai kwenye bajeti

    Wafanyakazi mmesahau kuwa mwaka huu ni uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani uchaguzi mkuu,Lazima a hadi zile nyingi ,mshahara mtasikilizia ,vikao Kati ya serikali na Tucta vitaanza baada ya bajeti halafu tunamalizia vikao October 30 2015,mcccm wakishaingia Majibu ni kuwa sungura kidogo,halafu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    Ina Maana mwanamke Pekee aliyezaa mbunge ni wa kwa Mgimwa tu?hawa Wamama wengine Wazaa wapiga kura tu yaani wapnga floe ni ya kura na kwa Mgimwa au wan awake wengine wamezaa jiwe siyo!!!!!!!!!!Kama sumari Kama sioyi Arumeru .Nasari peleka ushuhuda wanakalenga wakuelewe,CV kuu ni mtoto wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    Ina Maana mwanamke Pekee aliyezaa mbunge ni wa kwa Mgimwa tu?hawa Wamama wengine Wazaa wapiga kura tu yaani wapnga floe ni ya kura na kwa Mgimwa au wan awake wengine wamezaa jiwe siyo!!!!!!!!!!Kama sumari Kama sioyi Arumeru .Nasari peleka ushuhuda wanakalenga wakuelewe
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba wadanganye wasiokujua

    CCM YAZIDIWA MADENI Mbali na madeni makubwa, chama hicho kikongwe kimeshindwa kuwasilisha makato ya wafanyakazi wake; madeni kutoka taasisi za fedha yamelundikana hadi kufikia zaidi ya Sh. 1.3 Bilioni huku nikielezwa kuwa Akaunti zake zimefilisika. Mabilioni haya ya fedha yametafanwa na wakubwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Picha CHADEMA wilaya Mkalama; Ni kijiji kwa kijiji ya vuna mamia ya wanachama

    Kamanda George HOngera nakuona njoo Sombetini kumeiva .Kalist
  6. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya siasa George Liundi afariki dunia

    Apumzike Kwa Amani Amen
  7. B

    JamiiForums Tanzania Live kutoka Arusha, Kongamano la CHASO - yupo Lissu, Lema, Golugwa na wengine

    Vijana lazima tushiriki harakati zote za kisiasa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Live kutoka Arusha, Kongamano la CHASO - yupo Lissu, Lema, Golugwa na wengine

    Mada ya lisu ni ukombozi wa pili wa Tanzania na hatima ya Tanzania
  9. B

    JamiiForums Tanzania Live kutoka Arusha, Kongamano la CHASO - yupo Lissu, Lema, Golugwa na wengine

    Lisu ndio anatoa mada Kuhusu second rebalation in Tanzania
  10. B

    JamiiForums Tanzania Live kutoka Arusha, Kongamano la CHASO - yupo Lissu, Lema, Golugwa na wengine

    Tupo pamoja ndani ya ukumbi kamanda
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Diwani anayesubiri kuapishwa kata ya Sombetini

    Kazi imeisha Sombetini ,Bananga Diwani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Diwani anayesubiri kuapishwa kata ya Sombetini

    Hongera kamanda umeshashinda we ni Diwani
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Diwani anayesubiri kuapishwa kata ya Sombetini

    Uchaguzi wa kata ya sombetini ni Kama umeisha kwani Aly Bananga tayari anasubiri kikao cha kwanza cha baraza la madiwani kutoa hoja Kuhusu matatizo ya wanna sombetini
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

    Acha majungu subiri hukumu ya Mwisho dhidi yako.Wewe hukuwa na hadhi ya kuwa mwenyekiti wa mkoa Kama Arusha.ULiletwa letwa tu leo unapepeta.ULichaguliwa na nani Wewe kuwa m/kiti ishia Hugo huko.Unawivu na LEma Wewe.LEma alithubutu Wewe ukabaki na laptop kupiga ombea .HAkunaga chama Keene laptop...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Raisi KIKWETE Kadhalilishwa au Kajidhalilisha?

    Kama Rais kaweka washikaji zake na mambo hayaendi ?Anafundishwa Kazi au KInana na Nape wanataka kuweka mtandao wao wa URais karibu ..Hujui muda wa mkuu umeisha sasa wenye chama wanna panga mawaziri.HUyu waliyezunguka Nayeli atapataje nafasi Kama wengine hawatafukuzwa?
Back
Top Bottom