Mwanangu mmoja mwaka 2012 aliuziwa kopo la vidonge kwa 70k wanadai ukila kidonge kimoja ni sawa na umekula bakuri moja la mboga za majani na matunda. Lingine akauziwa 110k wakasema ni dawa ya kuondoa sumu mwilini. Katoka huko anatuaminisha kabisa kuwa ana sumu mwilini nikasema kwani amekuwa...
Amini nakuambia hakuna mustakabali mwema kwa Taifa kama wanaume wataamua kuona na wanawake wakiamua kuoana wao kwa wao. Kizazi kijacho kutengemeza mustakabali wa Taifa kitatoka wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.